Recent content by Themi1

  1. Themi1

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

    Watanzania tunachojuaga ni history ambayo haaisadi kitu.
  2. Themi1

    JamiiForums Tanzania Majambazi yavamia na kuua Tanga muda huu

    Majambazi yakiwa na silaa wamempiga risasi ya kichwa ndugu wa mmliki wa kituo cha mafuta pongwe na kutoweka na kiasi cha fedha kisicho julikana.
  3. Themi1

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mgombea Udiwani wa CCM Arusha amkimbia Hakimu Mahakamani leo

    Alimuozesha mwanae aliyefaulu kwenda kidato cha tano ili apate hela ya kampeni kwa kijana wa mawe,ya kesi angetoa wapi?
  4. Themi1

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ana mabavu gani ya kuzuia eneo kubomolewa?

    Maeneo niliyoyataja yanaanzia impala hadi mezaluna kunapo park shutle zinazoenda nairobi,hapo kuna vigogo na maeneo mengine ni tbl na kuelekea kwa jandu kote huko kuna vigogo kutoa milioni 500 sio kazi kuzuia.
  5. Themi1

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ana mabavu gani ya kuzuia eneo kubomolewa?

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha amezuia uvunjwaji wa ukuta wa uzio wa Jandu eneo la Corrido Area ambayo amejenga ndani ya barabara, na kuna nyumba nyingine eneo hilo limejengwa eneo la wazi. Mbali na eneo hilo, eneo lingine ni la Meza luna na Bushback yote yamepigwa alama ya X, ilipofikia...
  6. Themi1

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa ndani ya CCM watafanyaje kazi na Magufuli

    Umeona hao polisi ccm waliojipanga barabar nzima ya moshi angekuja lazima leo pangechimbika.yeye sio mtu wa kupenda vurugu.
  7. Themi1

    JamiiForums Tanzania Mosha wa CCM apongeza ushindi wa CHADEMA Moshi

    Akauze unga wake sasa.
  8. Themi1

    JamiiForums Tanzania Hivi Dr. Omar Ali Juma alifariki 2005?

    Majibu ya kupewa alikufa 2008
  9. Themi1

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi StarTv na RFA waanza kutafuta kazi sehemu nyingine, uadui wa Diallo kuwaponza

    Wala hakuna anayeangalia siku hizi..
  10. Themi1

    JamiiForums Tanzania Mahujaji wanne waliokuwa hawaonekani Makkah, wafariki dunia

    Lipumba vipi yeye amerudi?
  11. Themi1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nambia aanza ziara ya siku mbili Nchini Tanzania

    Ina maana jk akienda namibia ndege haziruki mpka atue.
  12. Themi1

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa Kanisani Leo

    [=kbosho;14292678]mkuu kwa 1990 alikuwa na mlinzi yuleyule? mkuu mwaka 1990 kulikuwa chadema? Jee alivaa nguo cha chadema hapo ilikuwa ni mwaka 1990? aisee ukiwa CCM lazima ujichetue akil Hiyo anawajibu lumumba walisema ile picha ya tarime
  13. Themi1

    JamiiForums Tanzania Barua kwa rais Magufuli

    Magufuli akiwa raisi watanzania tutajuta kuwa watanzania,huyu ni kibaraka wa mkapa na mwinyi na kikwete yupo maalumu kulinda mali zao.inatakiwa atakaye thubutu kurudisha mali za umma.
  14. Themi1

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunayasikia maneno ya viongozi wa CCM majukwaani juu ya Lowassa

    Ndio sera waliobaki nayo wamedanganya sana,wakachaguliwa sasa uongo umeisha ni imebaki kutukana.
Back
Top Bottom