JK alianza vizuri sana ... Nakumbuka kule kanda ya ziwa home ilikuwa too much. Majambazi walivamia walikuwa na jeuri sana ... Walivamia nyumba, ziwani, kuteka magari ya abiria nk.Magufuli aanzishe kikosi kazi cha kupambana na ujambazi maana nahisi something is wrong somewhere
Mungu tunusuru
Alitakiwa aandike vipiNakua- Kiswahili gani hiki??? mnalalamika hamuwezi kuandika kiingereza sasa hata Kiswahili ni majanga..hizi shule za kata na division 5 ni majanga makubwa sana.
Nakua- Kiswahili gani hiki??? mnalalamika hamuwezi kuandika kiingereza sasa hata Kiswahili ni majanga..hizi shule za kata na division 5 ni majanga makubwa sana.
Majambazi yakiwa na silaa wamempiga risasi ya kichwa ndugu wa mmliki wa kituo cha mafuta pongwe na kutoweka na kiasi cha fedha kisicho julikana.