Yes mwanamke utataka pesa , utapata buzi lako au a billionaire mzee anaye kupa kila kitu , ila kuna kingine ambacho roho inapenda kukishika, kukupapasa na kukikodolea macho na unaki kosa ,matokoe yake unakua kua so moody ,sad and lonely , ndio hapo inakuaja suala la six pax, huyo huyo...