Recent content by Thema

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kombi ya "EGM" ni sayansi au Art?

    Totally arts
  2. T

    JamiiForums Tanzania Majina na Tabia zake

    Akina DIANA,huwa ni vicheche balaa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mulimwo?

    Nabherewe chane kubhabhona umwu bhene data.Tuli kumwe bhakunzi.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao

    Mshamba ni anayemponda mleta mada asijue kwamba hili ni jukwaa la utani na udaku.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwezesha movie games ziplay kwenye....

    Pia wadau ni namna gani napaswa kufanya ili nipate connections za wireless internet? maana kwenye PC yangu hakuna mahali pa kuunganishia wireless internet na niliambiwa kuna drivers zinamiss,ni zipi hizo?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwezesha movie games ziplay kwenye....

    Wadau nawashukuru sana,nimetumia maelezo yenu na nimefanikisha.Mbarikiwe.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

    Msichana wa sura nzuri,ni kitu gani kinakufanya usiolewe...oooh baby......ona watoto wa nyuma yako,wameolewa wamekuacha ukiteseka'
  8. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwezesha movie games ziplay kwenye....

    Ni PC aina ya SAMSUNG.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwezesha movie games ziplay kwenye....

    Naomba kwa wenye uelewa wanipe namna ya kuwezesha laptop aina ya Samsung kuplay game za movie(eg.GTA Vice city) kwani nikiplay inaandika "no enough video space to play this game".
  10. T

    JamiiForums Tanzania hiki ni kiingereza?

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha,na wewe kumbe mkali, does not.........answered!
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiiraq

    Hawajui NO wanajua YES tu.Usithubutu kamwe kuoa mmbulu.Mi mpaka leo najiuliza hawa wairaqw wana shida gani?mbona wakitongozwa hawakataagi?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Boom Boom!jamani

    Wale wa UDSM waliosaini mapema account zimeshasoma fresh.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Aliyepangiwa MAIN CAMPUS wakati yeye anataka MABIBO

    Mi mwenyewe nilitaka kubadilisha kwenda main campus lakini nimeshauriwa nibaki mabibo kwa sababu kuna mazingira mazuri kwa kujisomea,miundo mbinu mizuri,mazingira mazuri ya kupata msosi popote na usalama wa kutosha.
  14. T

    JamiiForums Tanzania room allocation kwa 1st year wote udsm.

    Makuzi hawa wamenipanga Mabibo,dah!
  15. T

    JamiiForums Tanzania The Top 10 Most Intelligent People in the World

    Dah!watu wana mauwezo asee!
Back
Top Bottom