Recent content by Thelapy

  1. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi na uongo wake mpya: “Vyombo vya Usalama havina order ya ku shoot on site”

    Unafiki umekujaa, wewe ni ke' au me'?
  2. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Naomba unishauri nikasomee nini kwenye Masters degree

    Mkuu,kwanza hongera kwa kunitia moyo hata mm nasoma hii degree,Niko mwaka tatu, ..kwa ushauri wangu chukua masters yoyote ya maths kwanza, au ukipenda masters ya psychology of exceptinalist in education.
  3. Thelapy

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

    Uliyeangalia clip
  4. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya kumbukumbu ya tukio lililowai kukufurahisha maishani

    Nimekaaa,siti ya mtu
  5. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuweni na tabia ya kuwabeba na kuwaogesha Wapenzi wenu !

    Naona shemeji yangu ,Mshana Jr anafaidi aiseeee.....[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  6. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Barua ya Evarist Chahali kwa viongozi na wafuasi wa upinzani (Hususani CHADEMA)

    Umeshikiliwa akili,siku akili ikiachiliwa utacomment vizur!!!
  7. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

    Shida elimu ya ujasiriamali hawana!!;
  8. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

    Hata mm imewahi nitokea, nilienda kununua plain papers,katika ya stationary ya criss madesa ilyopo karibu na chuo cha duce, naona kuna mabox mengi ya ream yapo ,naambiwa SIUZI, wakati juzi yake nilinunua hapo,( nilichoka aiseee)
  9. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

    Ushauri wako sio, tayari umeshamhukumu kuwa alijiteka,na aombe msamaha, hebu tuassume hajajiteka, naomba umshauri upya...
  10. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, yeye alitoa wapi hela?!

    Kipi bora, kuajiri walimu na madaktari, au kujenga reli?
  11. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Freeman Mbowe kwa Taifa: Adai kuna njama za kuwabambikia kesi za mauaji na uhaini

    Umeandika vizur mwanzoni na kunipa matumaini ya kuendelea kusoma, lakini umemalizia kwa kuonesha ngozi yako...
  12. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Natamani hali iwe ngumu sana mpaka tukose Bajeti ya Ikulu

    Umeelewa post? acha ukanjanja na uzwazwa!!
  13. Thelapy

    JamiiForums Tanzania Wakuja

    Nimekaa siti ya mbele
Back
Top Bottom