Nipo tofauti sana na wanaofurahia utawala wa jpm. Mimi binafsi sijaona mabadiliko kati ya sekondari iliyopita ya jk na serikali hii kwa maisha ya mwananchi wa kawaida. Hakuna kitu kilichopungua bei. Tifauti kubwa ni taarifa za kutumbuliwa majipu na ziara za kustukiza tu.
Kingine ambacho hakijatajwa na mabinti kubakwa ndani ya maji. Wengine kwa kutaka wenyewe na wengine kwa kulazimishwa. Tena wasichana wanaopendwa ni wale wavaao vigauni au visketi. Wale wa Suruali au pensi mara nyingi huwa salama. Vijana wanaofanya upuuzi huo mtaji wao huwa ni Boya tu. Kwa...
Anasema alikataa kupangisha nyumba yake kwa sababu watu wanatumwa kumchunguza mtume. Anavaa chupi tatu. Na anahifadhi redio na simu ndani ya chupi ili asiibiwe. Duniani kuna mambo
Gaidi ni mtu yeyote anayehujumu uchumi kwa lengo la kudai haki yake ambayo anadhani imeminywa na tabaka fulani. Vitendo anavyofanya ni kama kubomoa madaraja na majengo ya kiuchumi na mara nyingine hata kuua watu ambao anadhani wana uhusiano na tabaka linalomnyonya au kumnyima haki yake.
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.