Kati ya Ridhiwani na Baba Ridhi, nani muongo?

Kwamfano riz 1 akija hapa akasema hamna kitu kama hicho msura wako utauficha wapi!

Sio utani kama ulishazikilza hotuba za mh.jk akiwa mkoani Kilimanjaro ndio utakubaliana na mimi
 
Nimejikuta kuwavumbua waongo mwaka huu. Katika pita pita zangu Istagram.. Kunradhi kaka yenu ni mara ya kwanza naingia humu basi nakutana na uongo na maajabu ya kutosha naona labda nishea humu nitapata uvumbuzi...

Leo ni Ridhiwani kaweka picha hii ikionesha mwaka 1958 muheshimiwa Raisi Kikwete alikuwa mkuu wa wilaya Pangani lakini Wikipedia inasema alizaliwa october 1953.

Ina maana Mkwere aliongoza wilaya akiwa na miaka mitano au Ridhiwani katupiga changa la macho?

Bofya HAPA (Wikipedia) kuona umri wa Raisi.

View attachment 257125View attachment 257125

Nani katudanganya?

Da akili zingine mungu atusamehe tu. Kwanini mnapenda kukurupuka?:becky:
 
Nimejikuta kuwavumbua waongo mwaka huu. Katika pita pita zangu Istagram.. Kunradhi kaka yenu ni mara ya kwanza naingia humu basi nakutana na uongo na maajabu ya kutosha naona labda nishea humu nitapata uvumbuzi...

Leo ni Ridhiwani kaweka picha hii ikionesha mwaka 1958 muheshimiwa Raisi Kikwete alikuwa mkuu wa wilaya Pangani lakini Wikipedia inasema alizaliwa october 1953.

Ina maana Mkwere aliongoza wilaya akiwa na miaka mitano au Ridhiwani katupiga changa la macho?

Bofya HAPA (Wikipedia) kuona umri wa Raisi.

View attachment 257125View attachment 257125

Nani katudanganya?
Si kosa lako ni kosa la kutokujua historia ya Tanzania na Tanganyika. Huyo unayemwona hapo ni Mzee Mrisho Kikwete babu yake na Rizi au baba Mzazi wa Mhe. Jakaya M. Kikwete. Kwa jinsi hii wewe ndo ulitaka kupotosha umma. Na kwa Taarifa yako Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa mwaka 1950 siyo 1953. Lakini ungenyamaza na wengine kama wewe wangeshindwa kuelewa. Kama una swali jingine karibu sana.
 
ni kweli akakojoe akalale kwakuwa ni timamu ila wewe butiso huwa unamalizia kitandani...teh teh teh!!!
 
Nimejikuta kuwavumbua waongo mwaka huu. Katika pita pita zangu Istagram.. Kunradhi kaka yenu ni mara ya kwanza naingia humu basi nakutana na uongo na maajabu ya kutosha naona labda nishea humu nitapata uvumbuzi...

Leo ni Ridhiwani kaweka picha hii ikionesha mwaka 1958 muheshimiwa Raisi Kikwete alikuwa mkuu wa wilaya Pangani lakini Wikipedia inasema alizaliwa october 1953.

Ina maana Mkwere aliongoza wilaya akiwa na miaka mitano au Ridhiwani katupiga changa la macho?

Bofya HAPA (Wikipedia) kuona umri wa Raisi.

View attachment 257125View attachment 257125

Nani katudanganya?

Nadhani muongo ni sospeter aliekuwa waziri
 
.huyo nimzee mrisho siyo jakaya pole kwa kushindwa kutofautisha msalaba na jumlisha
 
kuliza si ujinga.......ugonjwa wa mtanzania ni mtu hata akiwa na shida atakosolewa tu..... yeye mtoa maada aliomba kusahihishwa pia lakini wadau mmekuja kumbaka juu kwa juu
 
Mleta mada na wewe ni kilaza sana, ina maana hujui kuwa mrisho ni jina la baba yake na jakaya? Fanya utafiti kwanza kabla hujakurupuka kuja humu jamvini! Kuwa makini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom