Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,500
- 7,431
Chama changu cha mapinduzi naomba ili swala la wadhamini tuliondoe maana linaendelea kutengeneza uchochoro wa Rushwa kutoka kwa wagombea kwenda kwa wadhamini,ili ninalisema nimelishuhudia kwa macho yangu hapa Mtwara mjini kuna mama mmoja amekusanya KADI za wanachama juzi zikaenda kulipiwa unachama waliokua wanadaiwa kwenda kulipiwa,baada ya hapo zimetumika kumdhamini Mgombea aliepewa KIFIMBO na chifu wao huko MARA.Baada ya hapo kila kadi imepewa Elfu Ishirini,yule mama aliekusanya Kadi za wenzake na kuzipeleka huko CCM amewadhurumu wenzake Elfu ishirini zao,na KADI bado hazijarudi kwa wahusika.
Nb.Naomba viongoz Wakuu wa CHAMA cha mapinduzi watoe onyo Kali kwa makatibu wa CCM huko mikoani,vinginevyo hakuna Mgombea hatakae timiza vigezo 13,maana Mgombea akienda mikoani bila kutoa fedha hatopata dhamana