Habari ndugu zangu?
Natumaini mko salama na wazima wa afya.
Samahani naomba kuuliza jambo ninechaguliwa katika online written interview za utumishi lakini kituo nilichopangiwa ni mkoa mwingine mbali kabisa na mkoa niliopo sasa ivi.
Nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa kufanyia interview...
Heshima zenu wakuu! Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza.
Mimi ni Kijana wa miaka 23 Nina shahada ya kwanza (Bachelors degree) ya usimamizi ya Manunuzi na Ugavi niliyohitimu mwaka 2022.Tokea nimehitimu sijabahatika Bado kupata kazi,hivyo basi ninaandika Uzi huu kuomba kama Kuna mtu yeyote humu...
Habari ndugu zangu,
Samahani kwa kuwasumbua naombeni msaada wa kuhusu application za ajira katika mfumo wa ajira portal nilikuwa nauliza kama kuna tangazo la kazi linahitaji applicants wawe na diploma.
Je, mtu mwenye degree akijaribu kuapply nafasi hiyo hiyo inayohitaji diploma holders itakubali?
Habarini wakuu, poleni na majukumu mbalimbali yanayowakabili.
Samahanini nimeandika Uzi huu kuomba ushauri nahitaji kwenda kuongeza elimu ya vitendo kidogo katika vyuo vya VETA infact kwa sasa hivi Mimi ni mhitimu wa shahada ya Manunuzi na ugavi kutoka chuo fulani hapa nchini.
Nilkuwa...
Habarini Wakuu, poleni na majukumu
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nasoma degree ya Procurement and Supply Management. Nilikuwa naomba mnishauri kampuni au taasisi nzuri za kufanyia field kulingana na programme yangu ya procurement hususani katika mkoa wa Songwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.