Recent content by TheDreamer Thebeliever

  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Je hata walioomba mwaka wa jana wanahitaji kujisajili upya ndio waombe au wanalogin tu?
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upo wapi Anneth Benidicta?

    Nami nimemkumbuka X wangu Rosemary mtoto wa Kichagga mweupee uliyekuwa unaishi pale Buza Kanisani,nimekukumbuka kama upo nyoosha kidole nikuone roho yangu iridhike
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

    Inasikitisha sana Story yako😂😂😂
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tazama mazingira ya shule kumi bora Tanzania mwaka 2021

    Hapo Mzumbe home boy nimepita na kitu cha PCM hakuna raha hata kidogo mateso kama Guantanamo Bay, bila kuwa genius na kuwadanda wadau discussion au kujiongeza tuition hautoboi .😂😂😂😂
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Soko la Karume limeungua moto

    "Vijana mjiajiri msingoje kuajiriwa"😂😂😂😂😂
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania NASA wanatafuta mtu wa kumlipa ili aishi mazingira ya sayari ya Mars yaliyojengwa Marekani

    Kichwa kile kinaweza hizi Kari😁😁😁
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania NASA wanatafuta mtu wa kumlipa ili aishi mazingira ya sayari ya Mars yaliyojengwa Marekani

    mwijaku tena atakuwa kashachangamkia fursa
  8. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania NASA wanatafuta mtu wa kumlipa ili aishi mazingira ya sayari ya Mars yaliyojengwa Marekani

    Habari wadau Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa, wale wazee wa kujilipua kazi kwenu. ===== The space agency is looking for paid volunteers to spend a year living in Mars Dune Alpha, a Martian habitat based in Johnson Space Centre in Houston, Texas. The...
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Kabudi iliyetolewa matopeni na kuketi pamoja na mtawala kwenye meza kuu,kamwe hawezi kukubali kurudi matopeni bora akale makombo ya kuokota chini ya meza ya malkia mtukufu.
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

    Tena ashukuru mama ana huruma maana kosa alilofanya alistahiri kuwa tu mjumbe wa nyumba kumi
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

    Ukikamatwa na bangi usikubali waende kukusachi mbele kwa mbele ,waambie mmalizane mbele za watu waone umekamatwa na kil9 ngapi lasivyo wataenda kukupa magunia yote waliyoyaweka store harafu kwenye habari watatangaza wamekukuta na viroba 20 vya bangi wakati ni ka kilo moja tu 😂😂😂
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa rais Samia: Serikali inawanyima ajira wenye Digrii na kuwapendelea Fom 4 na Stashahada

    Kumbe sababu ni watumike kisiasa,PGO inasemaje?
Back
Top Bottom