Hii nchi imebeba wajinga wengi sana. Nadhani kabla ya kuanza kupambana na umaskini, tungeanza na literacy level ya watanzania.
Tupunguze tu hawa watu ambao hawana elimu kwa kweli. Utakuta huyu ni mtu mzima au ni jamaa ana push propaganda. Kizazi kijacho kina elimu siyo ya kudanganyika na...
Hapo watakimbilia karata ya amani over decency.
Yaani wafanye uhuni kwenye uchaguzi halafu wakiambiwa nguvu ya umma kwa siri inataka mabadiliko huwa wanakimbilia amani ya nchi.
Honestly nimependa Jinsi ume summarize siasa ya Tanzania ya sasa kwa maneno machache
Kuhusu Mapungufu ya Membe kubebeka
Upinzani kusahau kutumia mgawanyiko huu na kubaki kuwa mashabiki.
Your words summarize best on where Magufuli will take us economically.
Sasa ivi kuna baadhi yetu tupo radhi kutokwa povu kuzima Critism yoyote kwa mzee mkubwa, tujitafakari sana kwani tumekubali kuendeshwa na siasa sio sera na athari yake huonekana baadae sana.
Kuna kundi la watu na wasomi pia ambalo linafaidika kwenye kupotosha jamii kujaribu kuwaaminisha kwamba...
Watanzania tuna ushabiki sana, na tunajua kushabikia.
Ukifananisha uongozi wa Magufuli na Abiy wa Ethiopia utajuwa kweli wananchi wenyewe hatujipendi.
Rais wa Ethiopia anafanya kazi kweli na acha ndani, sifa nyingi zinatoka nje lakini hamna mwananchi wa Ethiopia umemsikia mtandaoni akisifia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.