Recent content by thechosenone

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji ku Unlock Modem ya Smile

    Ninacho ki Modem cha Smile but nataka kutumia kwa laini zote. Naombeni anayeweza ku Unlock anisaidie..
  2. T

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Afc Leopards Supercup nusu fainali

    Game ya Yanga vs Afc Leopards ya Kenya.. Bado matokeo ni 0-0 Kipindi cha pili YANGA 0-0 AFC LEOPARDS ‘LIVE’ MAPUMZIKO, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
  3. T

    JamiiForums Tanzania Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

    Klabu za Manchester United na Chelsea zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala. Man United wana kila dalili ya kumkosa Griezmann baada ya rufaa ya Atletico Madrid kufungiwa usajili kushindwa, na wanaamini Dybala ni mbadala sahihi. Dybala ambaye ana umri wa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

    Klabu za Manchester United na Chelsea zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala. Man United wana kila dalili ya kumkosa Griezmann baada ya rufaa ya Atletico Madrid kufungiwa usajili kushindwa, na wanaamini Dybala ni mbadala sahihi. Dybala ambaye ana umri wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Tufuatilie Mchezo kati ya Simba na Nakuru All stars Live hapa Kujua kila Kinachojiri katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam hapa.. SIMBA 0-0 NAKURU ALL STARS, ‘LIVE’ KIPINDI CHA KWANZA LEO UWANJA WA UHURU HIKI HAPA…
  6. T

    JamiiForums Tanzania Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

    Mchezaji wa Monaco na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe (18), ameonekana kuwa ni lulu kubwa katika joto hili la usajili huku klabu kubwa za Real Madrid , Manchester City na Manchester United zikiwania saini ya mchezaji huyo. Baada ya kuwa na msimu mzuri wa 2016/17 na kufanikiwa kutupia...
  7. T

    JamiiForums Tanzania SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    YANGA 0-0 TUSKER ‘LIVE’ MAPUMZIKO, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kufanya ili Simba itishe katika kombe la shirikisho

    Simba inahitaji kujiimarisha zaidi kwani msimu ujao wanajukumu la Ligi Kuu na michuano ya Kombe la Shirikisho ambyo wanahitaji kufanya vizuri. Klabu ya Simba imemaliza nafasi ya pili nyuma ya mabingwa wa Ligi Kuu msimu huu klabu ya Yanga kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa. Simba...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

    Mlinzi wa klabu ya Benfica, Victor Lindelof anatarajiwa kusaini mkataba wa muda mrefu na klabu ya Manchester United. Mkataba huo wa pauni Milioni 35 unatarajiwa kusainiwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili kukamilika. Siku kadhaa zilizopita gazeti la Kireno liitwalo O Jogo liliripoti...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba, Shose aliyefariki ajalini aagwa, Simba yatoa milioni 4

    Klabu ya Simba imetoa kiasi cha shilingi milioni 4.2 kama sehemu ya rambirambi katika msiba wa aliyekuwa shabiki na mwanachama wao, Shose Fidelis aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kuisapoti timu hiyo iliyobeba Kombe la FA. Shose alifariki dunia kwenye ajali...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Manchester United kufikiria upya dau la zaidi ya bilioni 247 Tsh kumnunua Griezmann

    Kuna walakini umejikoteza kwa klabu ya Manchester United kumnunua mchezaji Antonio Griezman wa Atlético Madrid baada ya mahakama ya kimataifa ya maamuzi ya kisoka (The Court of Arbitration for Sport-CAS), kuizuia klabu hiyo kufanya usajili mpaka mwezi wa kwanza mwakani. Maamuzi hayo yamekuja...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Soma Ripoti ya mzungu wa Azam kumtaka mrithi wa Bocco..

    Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba ametoa ripoti yake ambayo ni mwanzo wa mwendelezo wa maandalizi yao katika kuukaribisha msimu wa 2017/18. Aristica Cioaba ambaye ni raia wa Romania ametoa mapendekezo kadhaa kuelekea msimu huo mpya ambapo baadhi ya mambo yaliyomo kwenye ripoti yake ni haya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na jicho kuwa jekundu kwa pembeni

    Asantee
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na jicho kuwa jekundu kwa pembeni

    Nimekuwa nikisumbuliwa na jicho jekundu kwa muda wa kama mwezi mmoja hivi. Kwanza ilipoanza nikajua red eyes so drops na maji ya uvuguvugu nikatumaini ingesaidia. Imeenda drops zikaisha nikaenda ccbrt wakanipa drops zingine. Nimetumia lakini wapi sioni mafanikio. Kuna yeyote anayejua tatizo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Taifa Stars chawasili salama Misri, wafanya ukaguzi, kuanza mazoezi leo usiku

    Timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL, imesafiri salama kutoka Dar es Salaam, Tanzania hadi hapa Alexandria, Misri. Timu iliyotumia Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, ilipaa kutoka Dar es Salaam, saa 10.45 jioni...
Back
Top Bottom