Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Kama tunavyojua ligi mbalimbali zimemalizika na mabingwa wamejulikana tayari. Sasa tunaingia kwenye burudani nyingine yenye mvuto wa kipekee ambayo sasa itakuwa ni taarifa na tetesi za usajiri wa vilabu na wachezaji mbalimbali.

Kupitia uzi huu, tutakuwa tukipeana Updates za taarifa hizo ili kuweka kumbukumbu sahihi kwa muda ujao.

Karibuni;

Manchester United are ready to activate Atlético Madrid striker Antoine Griezmann's £86m release clause. (Source: Daily Mirror)

DEAL DONE: AC Milan have appointed Gennaro Gattuso as manager of their U19 Gennaro Gattuso Milan Primavera side.

Manchester City have agreed a deal to sign Bernardo Silva from French champions Monaco for £43m. (Source: BBC)

Real Madrid striker Álvaro Morata, a target for Chelsea, is close to agreeing a £52m move to AC Milan. (Source: Gazzetta dello Sport)

Chelsea will only sell 28-year-old striker Diego Costa if a bidder meets their £60m valuation. (Source: The Times)

Juventus are preparing an offer for Monaco's Fabinho, who is also a target for Manchester United and Manchester City. (Calciomercato)

Manchester United will not sell Spain midfielder Ander Herrera to Barcelona this summer. (Source: Independent)

DEAL DONE: Marc ter Stegen has signed a new 5-yr deal with Barca. €180m release clause. (Source: @FCBarcelona)

Pierre-Emerick Aubameyang has told Borussia Dortmund he wants to leave the club this summer. (Source: SkySports)

DEAL DONE: Barcelona have confirmed the appointment of Ernesto Valverde as the club's new head coach. (Source: @FCBarcelona)

Tottenham are bracing themselves to lose Danny Rose this summer - with Manchester United favourites to get him. (Source: Daily Mirror)

DEAL DONE: AC Milan have signed Mateo Musacchio from Villarreal on a 4 year deal, keeping him in Milan until 2021. (Source: @acmilan)

BREAKING: Borussia Dortmund have sacked manager Thomas Tuchel. (Source: BILD)

Chelsea have accepted a £10m bid from Bournemouth for goalkeeper Asmir Begović. (Source: SkySports)

BREAKING: Arsène Wenger has agreed a two-year deal to remain Arsenal manager. Formal announcement expected tomorrow. (Source: Telegraph)

Arsenal are preparing a last push to keep Alexis Sánchez and Mesut Özil - worth a combined £30m-per-year. (Source: Daily Mirror)
 
Wasalaam
Kama tunavyojua wapenzi wa mpira wa miguu hiki ni moja kati ya kipindi kizuri na muhimu kabisa katika mchakato wa maandalizi ya vikosi vya timu zetu kuelekea msimu unaofuata.
Hivyo ningependa tupeane taarifa tofauti atofauti kuhusiana na tetesi na habari zote zinazo husiana na usajili huku tukiendelea kujadili kwa kina ni kwa namna gani hizo sajili zitakavyoleta mabadiliko katika vikosi na ligi kwa ujumla.
Napenda kuwakaribisha wapenzi wote wa soccer katika uzi huu maalumu kwa ajili yetu.
 
Wewe unaanzisha uzi bila kuwa hata na taarifa moja mkuu!
Taarifa zipo ila ni muhimu kutengeneza uzi maalumu kwanza kwa aajili ya hizo taarifa then kinacho fuata ni kuhabarishana
 
Fununu zilizokuwepo ni simba kumsajili John Bocco.
Ila bado haijasemwa na msemaji wa simba
Hizo taarifa zinaweza zikawa zinaukweli ndani yake maana kuna taarifa juu ya kusimamishwa kazi kwa CEO wa AZAM FC nafikiri hili suala la Bocco linaweza kua ni miongoni mwa sababu
 
Haji Manara kasajiliwa rasmi Mikia FC na kupewa jezi #.9 kuepusha maishu ya Mezani FC/ na kwenda kwa mguu FIFA.
 
Mlinzi wa klabu ya Benfica, Victor Lindelof anatarajiwa kusaini mkataba wa muda mrefu na klabu ya Manchester United. Mkataba huo wa pauni Milioni 35 unatarajiwa kusainiwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili kukamilika.

Siku kadhaa zilizopita gazeti la Kireno liitwalo O Jogo liliripoti kwamba, raisi wa Benfica, Luis Filipe Vieira alisafiri kwenda Uingereza kwa ajili ya kukamilisha taratibu za usajili wa mchezaji huyo pamoja na mchezaji mwenzake Nelson Semedo.

Timu nyingine kubwa zinazoonekana kummendea mlinzi huyo ni Real Madrid, Barcelona na New Castle ingawa Jose Mourinho ameonekana pia kumtaka.

Kulingana na O Jogo Rais huyo wa Benfica anaamini kwamba anaweza kuwauza wachezaji hao wawili kwenda Manchester United kwa dau lisilopungua pauni Milioni 83 endapo wakikubali.

Manchester United wamekua wakimtaka Lindelof tokea mwezi wa kwanza mwaka huu lakini uhamisho ulishindikana.

Mourinho ana kazi ya kuandaa kikosi chenye walinzi wazuri kabla ya msimu mpya kuanza tena.

Chanzo: Shutikali
 
Mchezaji wa Monaco na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe (18), ameonekana kuwa ni lulu kubwa katika joto hili la usajili huku klabu kubwa za Real Madrid , Manchester City na Manchester United zikiwania saini ya mchezaji huyo.

Baada ya kuwa na msimu mzuri wa 2016/17 na kufanikiwa kutupia nyavuni zaidi ya mabao 26, klabu kubwa barani Ulaya zimekua zikipigana vikumbo kumnyakua nyota huyo.

Real Madrid ndio vinara wanaoongoza kwa kuweka dau kubwa la kumnyaka Mbappe, wakitoa ofa ya zaidi ya shilingi bilioni 340 za Kitanzania.Manchester United wanafuatia kwa kuweka dau la zaidi ya shilingi bilioni 326 , huku Manchester City nao wakiweka mezani dau la zaidi ya shilingi bilioni 303.

Timu nyingine iliyoonyesha nia ya kumsajili Kylian Mbappe ni Arsenal ya Uingereza, ingawa dau lao linaonekana kua ni dogo (zaidi ya shilingi bilioni 251) ukilinganisha na vilabu vingine vilivyoonyesha nia.

Mchezaji huyo aliyeisaidia klabu yake ya Monaco kuchukua ubingwa wa Ufaransa msimu huu baada aya ukame wa makombe kwa miaka 17 amekua ni mojawapo ya wachezaji wanaowekewa dau kubwa katika msimu huu wa usajili.

CHANZO: KLABU KUBWA ULAYA ZINAVYOPIGANIA SAINI YA KYLIAN MBAPPE[
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom