Za jioni wandugu,
Nimetembelea mkoa wa Iringa, niweza kujionea maajabu na fursa nilizozikuta. “Kweli tembea ujione”.
Tenga la nyanya, ambalo linatoa mbaka ndoo kubwa tatu, linauzwa 15,000 .
Kukodi kwa eka ni 30,000.
Kutumia ng’ombe kwa eka moja ni 30,000.
Kutumia treka ni 50,000 kwa eka...