Kumbe unashauri? Sasa unashauri na kichwa cha habari kinasema NI LAZIMA?[emoji23][emoji23] umejitahidi kiasi kuandika lakn ni upuuzi mtupu! Kuna mafisadi papa na bado wapo kila kona ya nchi, hujawasemea! Mnamwogopa sana lowassa nyie ccm!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zamu hii...
Nafasi utapata! Tatizo educ kwa sasa haina future! Nenda kozi za maana kama ulizoshauriwa na wadau hapo juu! [emoji122] Congratulation kwa div yako 1.8 katie msuli hivyohivyo! Hata kama educ ni hobby yako basi katie msuli ubaki chuo kama lecturer!!
Unajua ndugu kuna vitu vingine ukitaka kuvisifia unakosa sifa? Yaani hata ukeshe kutafuta sifa huwezi ona! Mm mwenyewe niligoogle hii shule sijaona chochote cha sifa! Labda sifa moja tu ni kuwa shule iko Tanzania na sio Burundi!!!
Huko hakuna wanafunzi waende!? Mpaka wachukue watoto pwani? Blind...
Asante kwa taarifa yako muhim ndugu! Ngoja niingie upande wa pili (private schools). Nilijaribu ku-google taarifa za shule hii niliona mambo ya ajabu! Hasa matokeo! [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] ! Asante kwa taarifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.