Bunazi Secondary School

TheBigBoss

Member
Apr 30, 2016
78
32
Naombeni mwenye joining instructions ya bunazi kwa form five 2016, ndugu zangu ninashida
 
Bunazi ndo wapi? Pigia simu mkuu wa shule...., usinambie huna namba, namba hutafutwa.
 
Bunazi iko karibu na Kyaka! Shule mpya, unakwenda kusoma nini? Sidhani kama zinafaa hizi shule. Ziko 49 ambazo zimeanzishwa this season to cater for the increasing number of form four pupils!
 
Asante kwa taarifa yako muhim ndugu! Ngoja niingie upande wa pili (private schools). Nilijaribu ku-google taarifa za shule hii niliona mambo ya ajabu! Hasa matokeo! ! Asante kwa taarifa
 
Exactly, unatumia matokeo ku- assess shule, kama ina div 4 &0 nyingi unahangaika na nini kumpeleka pale. He or she will not make wonders
 
Usipoteze muda wako kwenda bunazi sec,kwanza ni shule mpya kwa kidato chs tano pili kwa olevel haifanyi vizuri kabisa.ina walimu wa ovyo ambao wanaoa wanafunzi....
Yaani mwanafunzi anatoka kwa mume wake ambaye ni mwalimu anaenda shule na viongozi wanachekelea tu hilo wanaona ni sawa.mfano alichokua anakifanya mwenyekiti wa UVCCM wilaya.
Kwa ufupi walimu wapo busy kugombea watoto wa kike.
 
Duh,kati ya mabaya yote uloeleza,hakuna zuri hata moja nalo utueleze
 
May God! Binti yangu hawezi soma hapo! Asanteni kwa taarifa! !!
 
Duh,kati ya mabaya yote uloeleza,hakuna zuri hata moja nalo utueleze
Unajua ndugu kuna vitu vingine ukitaka kuvisifia unakosa sifa? Yaani hata ukeshe kutafuta sifa huwezi ona! Mm mwenyewe niligoogle hii shule sijaona chochote cha sifa! Labda sifa moja tu ni kuwa shule iko Tanzania na sio Burundi!!!
Huko hakuna wanafunzi waende!? Mpaka wachukue watoto pwani? Blind government
 
Back
Top Bottom