Recent content by The_Engine3r

  1. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Nafurahi kuona lissu amekiri kuwa "hawa" ni wezi The Engineer
  2. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi video za Millard Ayo ziko clear kuliko TBC?

    Ukiwa na HD camera moja au mbili. Ukarekodi kipindi kisha uka upload kwenye mtandao kwa kiwango cha HD ni bei rahisi kuliko kufanya hivo hivo na kuamua kubroadcast
  3. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Unajuaje kama kamati hizo hakuna usalama The Engineer
  4. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Lakini waliokuwa sehemu ya ku engineer haya yote leo hii wapo chadema.
  5. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Ni ccm hii hii ambayo ilikuwa na kina sumaye na lowasa au?! Cha msingi tumeona wapi tumekosea na uwezo wa kujisahihisha tunao kama nchi. Tusubirie kamati ya pili inasemaje
  6. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Kuna tume ingine inakuja. Tulia
  7. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo tarehe 30/4/2017 naacha porn na kujichua

    Kufanya mazoezi na kukimbia ni nzuri kwa afya ila inapunguza libido. Kujichua hakukufanyi uwahi ku cum. Cumming is all on and in your mind
  8. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Compare SGR TANZANIA $1.87bn/300km Vs SGR ETHIOPIA $3.40bn/750km. Tumelamba dume/dume katulamba?!!

    Design and build Ni falsafa mpya. Na cost effective. Lakini pia hayo yote uliyosema tayari yashafanyiwa kazi kilichobaki ni kuhamisha vyote hivyo from makaratasi to site.
  9. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Compare SGR TANZANIA $1.87bn/300km Vs SGR ETHIOPIA $3.40bn/750km. Tumelamba dume/dume katulamba?!!

    Mbali na gharama unazoziona, mradi huu unatoa fursa kwa wataalam wetu wa kitanzania kuweza jifunza. Yaani kuna kitu kinaitwa transfer of technology. Inaweza ikawa miezi30 ya uchungu lakini hizo extension zingine tunajenga wenyewe kwa taaluma zetu.
  10. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Dar amnanga Rais Magufuli

    Unapokosa yoyote, Njia pekee unayobakiwa nayo ni Majungu, fitina na ukosoaji ulikosa weledi.
  11. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mh. Mwigulu aligoma kutaja majina ya Wauza Madawa, ikabidi apewe Makonda

    Unaweza ukawa deep in shallow water
  12. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Hivi wapinzani wa nchi hii wanasimamia nini au mlengo gani?

    Muulize lissu
  13. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Hivi wapinzani wa nchi hii wanasimamia nini au mlengo gani?

    Hatua elfu moja zinafikika kwa kuanza na hatua moja. Yale madogo madogo kama maji, umeme na usafi. Mengineyo tuyaache
  14. The_Engine3r

    JamiiForums Tanzania Hivi wapinzani wa nchi hii wanasimamia nini au mlengo gani?

    Wanasimamiaje ilani zao katika ngazi za kata na majimbo? Utekelezaji wake katika majimbo ambayo wanayashikiria?
Back
Top Bottom