Siitaji mtu kufikiri kwa niaba yangu kwa ufahamu nilikuwa nao. Huitaji elimu ya pekee kujua mfumo unaoelekea kufa wa ccm.
Hatuwezi kuishi katika ndoto kwa miaka 50 ya uhuru bila kuwa na malengo na mwelekeo chanya. Walio kwenye mfumo huu bado wanaishi katika maoni na wapo kwenye bango la fikra...
Kati ya vitu ambavyo sitakaa nimridhishe au kumsimulia mtu, na hasa mtoto wangu ni kuhusu CCM.
Sina ushabiki wa vyama, ila kwa hiki chama sipendi hata kusikia. Kama ni kichaka, ni kile kisicho pitika hata na sisimizi.
Nadhani kuna vitu ambavyo vinagusa uhai na maisha ya moja kwa moja kwa watu na nchi ambavyo vyaitaji uwazi na utayari usio na subira ili hali ukweli na vielelezo vimeshaashiria.
Hapa ndipo kisheria tunaongelea jambo hili, "exception proves the law." The fact ni kwamba fedha zimetolewa kupitia...
Nachelea kusema, "hakuna umaskini mkubwa kwa binadamu kama umasikini wa fikra." Hivi ni taifa gani hapa duniani linaloishi lenyewe bila mahusiano na mataifa mengine. Je ni chama gani cha kisiasa hapa duniani kisichokuwa na mahusiano na chama kingine ndani na nje ya nchi?
Jamani zama za...
Swala hapa siokuchukua hatua kwa minajili ya hatua.
Je hizo hatua unachukua kwa manufaa ya nani? Je ni kwa ubora na ufanisi wa kazi au kwa manufaa binafsi/chama cha ccm?
Lazima Taifa hili lielewe kuwa watu wake sasa siyo wale wa kuburuzwa kama ng'ombe.
Mara zote kwa nyakati zote chama...
Wasomi ovyo namna hii? Hawa bado wapo kwenye pango la fikra kama asemavyo mwanafalsafa Plato. Bado wanaona vivuli vya uhalisia wa mambo. Bado tunasafari ndefu kuufikia uhalisia wa mambo.
Maelezo yako ni mazuri ila bado ni tetesi tu. Maelezo kama hayo huwa yanalengo na makusudio fulani. Bado ninamashaka na ukweli wake.
Kumnadi mwigulu kama Sokoine, mtoto wa masikini na mtetezi wa wanyonge kuna makusudio ya wazi katika habari hii. Bado ninamashaka na ukweli huu hasa kwenye swala...
Ndugu kwanza nikupongeze kwa ufafanuzi wako. Tatizo kubwa kwetu leo ni mtindo wa kiutendaji tunaotumia miaka nenda rudi. Wenzetu waliokwisha gundua siri hii wana msemo wao: "You cannot teach an old god new tricks"-"huwezi mfundisha mbwa mzee/aliyezeeka mbinu mpya za uwindaji." Ulimwengu...
Nikunukuhu, "Lema hana akili ni zero brain." Kwa hili tu inaonyesha mkanganyo katika mpangilio wa hoja zako. Kitu chochote kile hakiwezi kuwa na kutokuwa kwa wakati ulele. Lema hawezi kuwa hana akili na wakati huohuo akawa na akili sifuri. Contradictions of terms! You speak while your brain is...
Kwanza nikurekebishe Kiswahili chako. Tofautisha matumizi ya "R" la "L." Ni wazi kwa kutokujua kutifautisha silabi hizi, ni vigumu sana kwako kuona umaana wa kile anachoongea lema.
Wewe na Lema mnaishi uhalisia tofauti. Bado upo kwenye pango la fikra wakati Lema yupo upevu wa fikra. Mwana...
Migongano na kutokuelewana ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote yule. Sintofahamu hizi zinapochukuliwa kama changamoto chanya huleta mabadiliko chanya na mtazamo mpya wa kukabikiana na yajayo.
"Hujafa kama hujaumbika"-wahenga wanatuwasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.