asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Kama kuna tatizo watarekebisha , ila kama ni propaganda hebu nenda kale lunch wakati sisi tukijadili hatima ya ripoti ya escrow akaunti.
Mwongo mkubwa huyu kwanza wewe ni yupi kati ya hao buku saba wa lumumba hapo?
View attachment 202866
ukawa tumegawana mitaa na kata kulingana na mgombea anayekubalika, wagombea wote wanaokubalika watapewa fursa kulingana na uwakilishi wao kwenye kata.
Mfano.
Mimi ni mgombea cdm kwenye kata yangu ninayekwenda kumpora kata mwakilishi wa majambazi ccm na ninakubalika kwa asilimia 98.05 ukilinganisha na nccr, ccm, na cuf.
Kwa kuzingatia na kuheshimu makubaliano yetu ya ukawa tunakutana leo kwenye wilaya kama ukawa ili kujadili jinsi ya kuchukua kata zote kutoka ccm na kulinda kata zote zinazo ongozwa na ukawa kupitia vyama vyao.
Nikiwa kama mwenyekiti mtarajiwa cdm-nitapokea ushauri wowote kutoka ukawa kama nita ridhika kuwa mwenzangu anakubalika kuliko mimi kwa kuzingatia itifaki ya ki democrasia kwani tusipokubaliana mezani tutawapa wapiga kura wetu waamue na hapo ndio mwisho. Wananchi wakisema wanamtaka mgombea wa nccr, cuf mimi nitawa support 100% fiscal and financial kuhakikisha ccm haipati hata kata moja. Ukawa tuko fiti jiandaeni na jela
mkutano mkuu wa cdm umewapa tezi dume sasa uchaguzi wa serikali za mitaa lazima mpate tezi shoga.
Ccm ni sawa na jiwe tunatakiwa kila raia aliokote na kulitupa kuleeee
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
*Nasema ukweli Daima*CDM wanatumia UBABE ktk mgawanyo wa majimbo hawataki maridhiano kabisa HILI NIMELIONA LIVE KTK KATA YA "ILALA" ni ubabe ubabe tu!!/REKEBISHENI HARAKA KILA DOSARI!
Una ugonjwa uitwao ccmophobiaCcm na propaganda hawaachi najuwa wanatafuta wapi kwenye weak point waisambalatishe ukawa lkn najuwa ccm hawatavuka kiunzi cha ukawa.
Muulize mumeoNitawapataje wale Mashehe wanaopakuliwa gerezani?
mwezi wa kumi co mbali ndo mtakalia gome ndo mjuwe 15 mtapoteana na mafisadi wenzakoUkawa ni wasaka tonge
hongera kwa mipango yenu tunaomba iwe hivyo kote tanzania,lakini taarifa kama hii iliyoletwa ni bora ikafuatiliwa ikajulikana ni kweli ana la ili marekebisho yafanyike mapema kote nchini,tunapenda sana muungano uloanzishwa na ukawa hata kwa watu kama mimi tusiokuwa na vyama ila tunataka mabadiliko kwa gharama zozote zile!
hakuna hata mmoja aliyejibu madai niliyoleta zaidi zaidi mpo busy kunishambulia kama kawaida yenu.
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
Kwahyo ndo ushakuwa mwanafunzi wa propaganda na tayari unagraduate? ..hayo alikuwa anayaweza Tambwe Hiza nyie wengine propaganda hamziwezi[/QUOTE Rweye nipo ktk baadhi ya taratibu ktk ngazi za awali #nalalamikiwa !
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
mmeanza uchonganishi wenu kama kawa,lakini UKAWA wamejipanga vilivyo kwa hili.