Recent content by THE WISE MaN

  1. T

    JamiiForums Tanzania Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Ushirikiano wa wananchi ni wa muhimu ili kuleta maendeleo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uume hausimami asubuhi

    Si lazima uume usimame asubuhi. Uume husimama katika hali ambapo uume hujaa damu inayoufanya uongezeke ukubwa na urefu,mfano mtu wa kiume akiwa karibu na mtu wa kike kihisia au ana kwa ana.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mtu mwenye HIV, Ni dalili gani za kwanza humpata, na huonekana baada ya muda gani?

    Kushambuliwa na magonjwa nyemelezi
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

    Pole sana. Nawe piga kazi wakuogope
  5. T

    JamiiForums Tanzania Chaguzi za awamu ya tano zinawadia

    Tukimalizia uongozi wa awamu ya nne,ambao umeambatana na changamoto kemkem,huu ni wakati muafaka kulinda chombo kisizame,vinginevyo tunaweza kuishi maisha magumu,yatakayoambatana na kudumaa kwa uchumi na hali ya wananchi kisiasa,kijami na kiutamaduni. Tujipange sasa. Suala la nani awe kiongozi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hali ya Watanzania si nzuri!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya utawala wa Rais Blaise Compaore nchini Burkina faso, Bunge lachomwa moto!

    Tatizo hilo lililojitokeza Burkina Faso, linawatahadharisha watu wa mataifa mengine kuepuka kutumia mtindo wa uongozi usiojali haki na usawa wa binadamu; bali kuboresha katiba yao itakayofanya uongozi uwe wa haki. Tunatarajia uchaguzi utakaofanyika Tanzania mwaka ujao,utakuwa wa amani; na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wana-CCM ni wasakatonge tu

    Ni hatari tukibweteka,tuwe makini kwani tuendako kiuchumi si pazuri
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    Watu kama huyo, waadhibiwe vikali. Kama vipi amwage unga
  10. T

    JamiiForums Tanzania Selection UDSM 2014/2015

    Selection udsm tayari?
Back
Top Bottom