Recent content by THE WINNER 24

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Miti shamba matunda na mimea ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, ni vile tu tunapuuza.
  2. T

    JamiiForums Tanzania 15 acres beach area for sale, located at Pemba Island Zanzibar

    This plot is over priced. Pemba is not developed to that extent. All the best.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Nimesoma ulichopitia kule Kagera na ninakupa pole sana. Usichokijua bado ni kuwa huko kwenu Kondoa yote uliyoeleza ndio hayo hayo kwa sisi ambao tumebahatika kuishi na kufanya kazi hapo ikiwemo ubaguzi wa wenyeji, ushirikina, matumizi ya lugha ya asili bila kujali uwepo wa wageni, majungu na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Zero tarrif Bado upo, wavuja Jasho changamkieni fursa

    Nilikuwa nanunua wa 11,650/ napata unit 75 kila mita.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Zero tarrif Bado upo, wavuja Jasho changamkieni fursa

    Mimi nilikuwemo kwenye huduma hii tangu mwaka 2017 lakini mwezi huu March 2025 tarehe 03 nimenunua umeme wa 10,000/ nikapewa unit 28 nikajaribu na mita ya pili maana nilikuwa na mita 2 nayo nikapewa unit 28 nikajua tayari nimetolewa. Hii huduma ilikuwa nzuri sana maana inakupa unafuu wa maisha...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Usijizuie kuelewa hatifungani/bond za Serikali

    Asante sana kwa elimu nzuri juu ya uwekezaji. Haya mambo kwa Watanzania walio wengi ni mageni hivyo elimu bado inahitajija sana.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

    Mungu akusaidie utambue kuwa wale ni makuhani wamewekwa na Mungu kutimiza kazi yake. Suala la muda wa ibada kuwa mrefu ni jambo ambalo unaweza kufika ofisi ya mchungaji kiongozi ukatoa ushauri kuliko kuja hapa kulalamikia jambo ambalo wengi wa unaowalalamikia ni ama wa mlengo mwingine au si watu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nakuchukia Baba yangu

    Pole sana ndugu. Lakini ili kufuta hilo tatizo kwenye familia na ukoo wako ni bora umsamehe na umpende haijalishi ni wapi amewapitisha maana usipofanya hivyo kwanza utaendelea kupitia maumivu ya moyo na pia utakuwa unaendeleza roho hiyo ya kutelekezana kwenye familia au ukoo wenu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

    Mkuu naomba niulize maswali kadhaa ya uelewa; 1. RO ni nini? 2. Je , Mkuu naomba niulize maswali kadhaa kwa ajili ya kukuza ufahamu; 1. RO ni nini? 2. Ili niweze kuchakata angalau lita 2,000 za maji kwa siku nahitaji mfano niwe na manpower kiasi gani na mashine gani niwe nazo? Nitashukuru...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je una safari ya kwenda nje ya nchi? VISA INTERVIEW QUESTIONS:-

    Kama umejipanga na sio mzamiaji nadhani utakuwa na majibu pamoja na vielelezo kamili vya kuhalalisha safari yako hivyo una nafasi nzuri ya kupewa visa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

    Nadhani inategemea na aina ya pressure cooker uliyonunua. Mimi ninayo ya umeme na inatumika almost daily na ni pamoja na nyama, maharage, pilau, mikate na sasa ina mwaka wa pili na familia yangu ni ya watu 6. Pia ni very economical kwenye ulaji wa umeme.
  12. T

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    Hadithi yako ni nzuri lakini ungemuomba mjuvi wa Kiswahili aipitie na kurekebisha makosa madogo madogo ya kiuandishi mfano alafu badala ya halafu, ill badala ya hilo nk.
Back
Top Bottom