Recent content by THE WILLA

  1. T

    Contractors Reg.Board,EQRB hii ni nini?

    Watengeneze njia ya kuhusu maji yasitwame ushaskia ni wakandarasi kwahiyo naimani mitambo ya ujenzi wanayo
  2. T

    Kwa maneno haya ya Pele, soka litakuwaje baadaye?

    Nyakati hizi vipaji haviwez kuonekana Kama zamani coz mpira umepiga hatua sana ili team ipate mafanikio inabidi mcheze ki team zaid sio Kama zamni juhudi binafsi za mchezaji mmoja mmoja lkin yote katika yote tuendako ni kubaya soka limetawaliwa na pesa toka michezo ya betting ianze kushamili pia...
  3. T

    Je, ni kweli 'bao' la kwanza pekee huweza kusababisha ujauzito?

    Mimi nadhani kwa mtu anaefanya Mara kwa mara bao lake la pil na tatu hayawez kutungisha mimba coz mbegu za bao la kwanza ndio zinakuwa zimekomaa vizur hata ukiangalia kwa macho tu unaona bao la kwanza ni zito Lina afya yani tofauti na la pili na tatu NB;Angalizo ushaur wangu ni kwa wale ambao...
  4. T

    Ebu shangaa kikwenu tuone

    Sio kweli nyie ni mwe mwe mwe jamni
  5. T

    Ronaldo yuko juu lakini Messi yuko juu zaidi

    Mnaongea sana bana lkin Ronaldo hamuwezi Messi hata kidogo nakumbuka jamaa kipindi liko Madrid alikuwa mbinafsi sana hata afunge 4 pekee yake bado ikitokea penalty atalililia kwa ufupi mafanikio ya Ronaldo kwa asilimia kubwa yametokana na juhudi za wachezaji wenzie 80% za kina modric,macelo nk...
  6. T

    huyu Ngosha anakwama wapi aseee!!!

    Camera man haziko sawa ningekuwa jamaa angenilipa
  7. T

    Baada ya Liver na Chelsea kuchemka mechi za uefa, kwa leo nani zaidi

    Mambo Mengine bhana pale ni camp now kama unaweka mkeka mpe Barca wala usiwaze inter hachomoki kina Messi, dembele mjengoni liver kafa pale sembuse inter Simdharau inter ila kama kushinda au sare atazipata akiwa Italy kwao
  8. T

    FIFA yatuhumiwa kwa kumuwezesha Messi kushinda tuzo ya shirikisho hilo

    Hiyo tuzo Amestahili Messi na hao warabu tunajua wana bifu na Messi tokea kipindi kile Argentina igome kwenda kucheza nchi ya kiarabu ndio kutokana nai ule mzozo wa israel kuwa mji mkuu was Jerusalem na Messi alikuwa kama mhamasishaji wa Argentina kuahilisha mchezo hapo ndio bifu la warabu na...
  9. T

    Kocha wa barcelona anasajili wachezaji hawezi kuwatumia

    Huyu jamaa valvede wakimuacha atatia hasara kubwa sana
  10. T

    Nimemcheki Samatta kwenye Game ya Genk vs Anderletch. Samatta hana uwezo wa kucheza England

    Kama Giruod kaweza kwanini samatta ashindwe na pia akienda huko England sio lazima acheze team kubwa kama unavowaza anaweza kuchezea team za ligi kuu epl zenye majina madogo na akatisha tu
Back
Top Bottom