Recent content by The weekend

  1. The weekend

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Code 1x bet=4AU9L Kubet goli liingie nyavuni nilishaacha.
  2. The weekend

    Jina la huu wimbo/mwanamuziki

    Inagoma kuattach
  3. The weekend

    Jina la huu wimbo/mwanamuziki

    Wakuu ninaomba mtu yeyote anayeujua huu wimbo wa reggae au jina la mwanamuziki aliyeuimba tafadhali,
  4. The weekend

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizo stake weka ligi ya bongo hasa yanga,simba wakiwa dar.
  5. The weekend

    Laki saba nimetumia siku tatu! Kuna nguvu za giza, sio bure!

    Ukipata pesa iwe ni deal au umelipwa mahali au mshahara umeingia tafadhali usiitumie iache hadi kesho, mfano mshahara umeingia tarehe 23 ww usiende bank kuwithdraw au usifanye simbanking vumilia hadi tarehe 24 then Fanya matumizi unavypopenda yaani utaona unaspend na pesa haiishi na unaona value...
  6. The weekend

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Wasanii wa bongofleva usiwaamini hata kidogo, huyo mmakonde hana uwezo wa kumnunulia kajala Range, hyo gari alipewa na tajiri mmoja kino mwenye yard ya magari amsaidie kumtafutia wateja.
  7. The weekend

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Issue ni imani (dini ya kiislam) wanawai ili kuepuka/ kuikimbia zinaa( kufanya mapenzi bila kuwa na ndoa)
  8. The weekend

    SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Inamaana ile kazi ya ukahaba gadi udereva ikulu uliiacha? Jf yasikuhizi imejaa watoto
Back
Top Bottom