Recent content by The-unknown

  1. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Sema Unapenda nini?

    unapumzika una nini? kina level ukifika hata mapumziko yanakua na maaana,maskini unaeza kupumzika ukafia mapumzikoni
  2. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Mimi kama mwanamke nitajuaje kwamba kazi ya hotel haitaniitaji nivue nguo zangu?

    naomba nifikishie hili, mwambie yeye ni mpuuzi,mjinga kabisa anawezaje kuwaza ngono hajafanya ata kazi
  3. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Walimwengu uzandiki tuuache 😅

    hii nguvu ingewekwa kwenye katiba tungekua nayo muda huu
  4. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba: Rais Samia anavipa Vyama vyote nafasi sawa

    chama na jumuia zake
  5. The-unknown

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    inahusika,walipaswa kufunzwa namna ya kuzungumza,na ikiwa wao ni walinzi wa nchi
  6. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    kama umepanga vumilia
  7. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya

    hii ndii jf,unaona user Zai lakini uhalisia Hamisi
  8. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

    dawa hutibu kilichopo,na antibiotic inafanya kazi ya kuzuia
  9. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

    Azuma ni antibiotics na si dawa
  10. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliona mbali sana kwamba ni kheri Slaa kuwa rais kuliko Tundu Lissu

    ujumbe wako haujaja mahala sahihi,jaribu kwa wale chipukizi wenu
  11. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Mfundishe tu,ndio kashakuwa mkeo
  12. The-unknown

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    mafao sio jambo la msingi,utu ,haki na uwajibikaji ni muhimu,wangapi hawana hata 10 na wanaishi
Back
Top Bottom