Kama umefanikiwa kupata kazi serikali mshukuru Mungu bila kujali umeenda taasisi gani leo nipo hapa ofisini naona watu kibao wapi ofisi za ajira portal wengine ni toka asubuhi hata chakula hawajapata
Dah mie mwamba mmoja inasemekana alitumbuliwa vyeti feki jamaa tukiwa wawili tunapiga kazi fresh kwani hakuna kigeni kwenye kazi ila sasa akiwaona maboss kila unachofanya anakukosoa mbele yao juzi kati nimetolea uvivu wiki nzima hii kavuta midomo hawa watu ni shida
Hongereni mliopata placements na ambao bado ombeni mpate sehemu nzuri kuna sehemu unaenda dah aisee majanga unakuta watu wa mikataba wananguvu kuliko hata wa. Kutumu na ndio machawa hasa wa mamboss full kukulengesha sehemu sio halafu wananenda kukulipua kwa wakubwa huko
Majobless Wana hasira sana na PSRS ila kuna Wana kama watatu mkeka wa jana wamelamba asali na mmoja kaka data base mwaka alifanga saili mwaka jana mwezi wa 6 akakata tamaa akaanza kuomba kazi upya ila jana kaonekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.