Recent content by The Spit

  1. The Spit

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

    I don’t trust him. Sorry to say so, but God forbid the worst to ever happen, I don’t consider him a presidential material at all.
  2. The Spit

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Huyo jamaa ni Magufuli aliyechangamka..Tatizo watanzania tuko wavivu sana kung’amu mambo
  3. The Spit

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Mvua ilitibua tope na Mafuta yanayoelea ni mafuta ya mimea iliyo chini ya Mto Mara

    Fafanua mkuu sijakuelewa hapa mjaluo yupi anahisika kushupaza shingo? Prof. Mayele ni mtu wa Rukwa huko au ulitaka kumaanisha nini?
  4. The Spit

    Hotuba ya Mbowe mkoani Iringa; Asema CHADEMA inachokozwa, ataja bendera ya CCM

    Hivi akili hizi watanzania mnazitoa wapi. Hivi kazi ya chama cha Upinzani ni nini? Kazi ya chama cha Upinzani ni kuichokonoa serikali pale wanapoona kuna mapungufu. Ni haki yao na ndiyo wajibu wao namba moja katika mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi. Tatizo watanznia wengi sio tu kuzaliwa...
  5. The Spit

    Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

    Hicho chuo ni confrimed fake na kazi yake ni kuuzia watu sampuli ya Msukuma fake honorary degrees Rejea hizi links. https://www.chubmagazine.com/2018/07/28/busted-rogue-college-selling-honorary-doctorate-to-africans-in-london/...
  6. The Spit

    Kusema 'Nendeni Mkalifanyie Kazi' bila kuwa na KPIs kuna walakini

    Umeongea kitu cha maana sana mzee. Nimekuwa nikishangaa sana kuhusu hili jambo. Huwezi kumpa mtoto pipi halafu umwambie asilambe hiyo pipi. Lazima kuwepo na KPIs and benchmarks otherwise maelekrxo sijuhi ni ni useless
  7. The Spit

    Majembe Hatari ya Rais Magufuli, yumo Makonda, Sabaya, Murro na Jokate

    This was the first comment. Noma na nusu
  8. The Spit

    WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Kama hufaham kuwa mambo ya kuzimana internet especially twitter yalianza kipindi cha Kampeni mwaka jana chini ya serikali ya dikteta Magu basi achana na hii mada endelea na issue zingine.
  9. The Spit

    WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Sasa fikiria kwa nini watu wafikirie ni TCRA na si vinginevyo? Upuuzi aliouanza Magu wa kuzimana na mitandao mambo ya giza sana na kuyaacha yanaendelea ndiyo sababu…Hakuna ambaye angewaza hivyo kwenye utawala wa kikwete
  10. The Spit

    Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

    Hivi huyu mwamba amebadili gia lini maana kumbukumbu zangu za kipindi cha uchaguzi mwaka jana yeye ndo alikuwa anajaza threads hapa kumponda Magu na kumtetea Lissu? Huyu jamaa kama sio Kigogo mwenyewe sijuhi!!Sio kwa hii U-turn.
  11. The Spit

    Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

    Kuna upungufu mkubwa. Rais hafanyi na hawezi kufanya kila kitu yeye kama yeye. Ni sahihi kusema serikali imefanya au kama mnapenda tu ku-tag jina lake basi sema serikali anayoiongoza rais SSH lakini kusema Rais kafanya sio sahihi.
  12. The Spit

    Binamu Bananga aipa darasa CHADEMA

    Exactly MODs wako wapi kufuta posts kama hizi za kutunga tunga. Bananga hajaandika wala kuongea hayo mapupu ya Lumumba. Bananga ajitafakari manake he is a weak link. Why Lumumba wamtumie yeye kusambaza propaganda na watu waamini bila hata kuchukua muda kujiridhisha?
  13. The Spit

    Binamu Bananga aipa darasa CHADEMA

    Huu mbona uongo? Bananga hajaandika huu upupu mmejitungia UVCCM huko propaganda za kitoto. Lete uthibitisho kuwa haya maandishi ya Bananga? Account yake ya IG hakuna post kama hiyo. Mimi siungani na siasa na misimamo ya Bananga but I’m not the one to fall for these cheap politics.
Back
Top Bottom