Recent content by The Specialist

  1. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Asili ya dunia ni dhambi na dhambi si hatia

    Najua wewe uwa unafanya meditation, umefikiri mbali sana na umeuona uhalisia. Kiukweli dunia ndo iko hivyo na itaendelea kua hivyo, watu watakubishia kutokana na mapokeo ya dini Ila wakiamua kua neutral watakuelewa vizuri. AHSANTE
  2. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, kuna siku tutawakumbuka CHADEMA

    Yameanza kutimia mkuu, ngoja tuone itakuaje huko mbele. Mungu atusaidie
  3. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Utumishi wamefikia wapi ajira za EGA za mwezi wa 8??

    Majina yametoka tayari, ingia web ya utumishi
  4. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Utumishi wamefikia wapi ajira za EGA za mwezi wa 8??

    Majina watatoa usiwe na wasiwasi, endelea kujiandaa. Utumishi wako fair sana.
  5. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa kuhusu internship zilizotangazwa na TBS 2020

    Wale waliofanya usaili wa TBS, majina ya waliofaulu yametoka, bend kwenye Web yao
  6. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

    Mbona mishahara yao ya kawaida tu, maana Ni TSG E
  7. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

    ONLY THE STRONGEST WILL SURVIVE
  8. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

    Wanataka ulaini WAKATI hali halisi wanaijua, hyo ratio Ni nzuri kabisa na ndio maana halisi ya SURVIVAL FOR THE FITTEST.
  9. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

    Umeongea kwa mafumbo hyo kampuni Ni ipi?
  10. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

    Mbona ratio nzuri tu
  11. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa kuhusu internship zilizotangazwa na TBS 2020

    Usaili bado haujafanyika
  12. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa kuhusu internship zilizotangazwa na TBS 2020

    Yah Ni kweli, majina yametoka tayar na usaili Ni tarehe 26
  13. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

    Wameita lini? Wametoa majina au wamepiga simu?
  14. The Specialist

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    Ndo hivyo: MSHAHARA haujawahi kutosha
Back
Top Bottom