ninyi ni wezi wakubwa mnataka kuneemeka kupitia watu wengine acheni kudanganya watu eti mnafanya bure me nawajua vizur na sishauri mwalimu yeyote awatumie ninyi
HUYO JAmaa hana lolote hiyo organisation behavior anayosema amesoma mbona hainalolote, kuna manguri tumepiga social pschology na kukuona kuwa umekuwa afected psychologicaly kusoma chuo usichotarajia(udom) sasa unataka kupoonda kingne ili uweze kubalance your self esteem au kujiridhisha. huwezzi...
wewe ni muongo kabisa hasa hilo suala la masters watu wanafundishwa ww unaleta politics acha habari za kizushi dogo, consultancy unafutwa sio unatafuta maana kama mtu ni nguli utafuatwa tuu, shauri yako ww kilaza
WW umekurupuka nani kakwambia muhimbili ilijitoa udsm sababu ya ubora? acheni kuropoka vitu msivyo vijua hizo ni taratibu za kupanua huduma za mashirika ya umma. unafikiri vyuo vya umma wanafanya kama vikundi vya saccos bila utaratibu acha ushabiki dogo unaonekana huna elimu ya kufikiri .
acheni ushabiki wa kijinga kupenda kuangalia mabaya tu hao watoto walio feli walikuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa hapa dar . so hakuna sababu ya kuchekelea zaidi ya kutafuta source ya hao waliofeli na solution
tatizo viweb vinavyotumiwa kutoa nafasi za kazi vingine vya kihuni afu vinafanya ujanja ujanja kutaka kuwaibia watu pesa, jamani tusiwe rahisi kutoa pesa ili tupate kitu ambacho tunastahili kukipata free. njaa inaweza kukupeleka pabaya hat hicho kidogo ulicho nacho kikachukuliwa
WEWE ndo umekurupuka hakuna kitu kama hicho kama uliomba post fulani unatakiwa kufikiriwa ktk hiyo hiyo na si kutafutiwa sehemu nyingine ambayo hukuomba kajipange vizuri unajifanya unajua taratibu kumbe na ww mburula tu shit!
poa mkuu ngoja tuwacheck hao wadaau ila mbona tangazo lao halijitoshelezi. ni shule, kituo au mtu binafsi, sometimes hawa huwa wayeyushaji kwa nn wafiche name of the institution
Nyie wezi mbona ile elfu kumi ya form hamuitaji hapa mtandaoni au mnaona aibu, pia za zile percent za kukata ktk mshahara wa huyo mwalimu mbona hamuweki nyinyi hamfai me nilifika pale ofisini kwenu nikaona mlivyopanga kuwaibia wa tz ngoja tuulize kama kweli serikali imewapa ruhusa ya kufanya...
Tatizo la vyuo vya kata bana yani ni uujinga uujinga. mambo yenu ya kusifia chuo ambacho head wa department ana bachelor ni upuuzi mtupu unajisifia kusoma kichina ili iweje kwa soko la hapa bongo ukikosa kazi unalalamika kumbe chuo kimeanzisha degree za ajabu ajabu. acheni ujinga wa kusifia...
hiyo namba mbili yako inaoyesha huna akili unataka wachukue watu wengi wakati sehemu ya kuwaweka hawana na hujui watu wakiwa wengi kuliko resource ni fujo. Hiyo namba tatu ni uwongo kaka hakuna kitu kama hicho ubora ndio unaonesha kitu kinakua, kwa hiyo shule zenye watoto wengi darasani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.