Recent content by The seer

  1. The seer

    Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

    Tembelea vijijini Moshi,nenda tanga vijijini,nenda singida vijijini ,nenda kondoa Kwa warangi ,nenda kaone karatu Vijijini tembelea vijini vya ,babati manyara utakuja kugundua Uzi wako ni WA kipumbavu Tu Vijijini kuna watu wazuri kama mjini au kwako mawigi,lotion na mavazi ndio uzuri.
  2. The seer

    Putin alalamika vifaru vya Leopard vya Ujerumani kwa Ukraine, akumbushia Wanazi

    Nenda kasome historia ya vita,hata Tanzania tulipopigana na Uganda nani walikuwa wanatusaidia na Nani walikuwa nyuma ya uganda.hata urusi anasaidiwa na Wegner,north korea.iran,Slovakia,na nchi kibao.
  3. The seer

    DOKEZO Responded Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Daa nyi walamba asali ni wagumu kuelewe mambo,asali imewalewesha.
  4. The seer

    DOKEZO Responded Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    We ni mlamba asali huwezi kuelewa
  5. The seer

    Vipi ulaya imeshaganda kwa baridi baada ya urusi kufunga koki za gesi?

    Uchumi WA urusi ni Hali mbaya Sana hapa Moscow ni balaaa,tunateseka Sana,vita iishe Tu. Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
  6. The seer

    Natamani vijana wa CHADEMA wajifunze kwa Zitto

    Bila Shaka hii post hata wewe hujaelewa ulichoandika, Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
  7. The seer

    Dkt. Samia ameijenga Tanzania sana..!!

    Umevimbiwa?
  8. The seer

    Wanausalama ni watu muhimu sana

    Hujui vita wewe.fuatilia nini maana ya jeshi la akiba,uliza vijana Kule Ukraine na Russia utaelewa ikitokea vita hata wewe utaenda vitani.
  9. The seer

    Mfanyabiashara maarufu Arusha mbaroni kwa kuwabaka watoto wake na kuwatishia bastola

    Una akili Sana ndio maana polisi hawajafuatilia zaidi,kuna wanawake Makatili sana
  10. The seer

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Wewe ni mlemavu WA ubongo lakini hujaponywa,tangu lini kiwete anatumia magongo,matepeli WA makanisani wanaandaa script na kugawa magongo na kuyakusanya,
Back
Top Bottom