Recent content by the reformer

  1. the reformer

    Mke wa balozi mchukia ufisadi mama Mshumbusi anena

    Jamaa kawafanya nyumbu kua nyumbu kweli...hua namuona anawachekelea ki chini chini ..hahahaha
  2. the reformer

    Mke wa balozi mchukia ufisadi mama Mshumbusi anena

    Mwingine ni huyo Mugabe wenu ataachia lini uenyekiti...ndio tujue sio chama cha uongozi wa ki imula..na kutumia vijana kama makalai ya kubebea zege
  3. the reformer

    Mke wa balozi mchukia ufisadi mama Mshumbusi anena

    Kwa hyo Lowasa,Nyalandu na wengine ni mamuluki...duh.basi poleni sana[emoji2] [emoji12]
  4. the reformer

    Mke wa balozi mchukia ufisadi mama Mshumbusi anena

    Mtu akitoka chadema tu,munamita msaliti,na aliyetoka ccm kuja chadema munamutaje..
  5. the reformer

    Mbowe: Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja

    Hahahaha...Naona Mbowe Leo alikua under influence ya drugs! Temu hii tutasikia mengi .
  6. the reformer

    Rais alikuwa sahihi kumtumbua Nape.

    Uko sahihi kabisa .Utovu wa nidhamu ndio umemugharimu Nape..hata ningekua Mimi ningemutumbua tu!!
  7. the reformer

    Kilichonikuta na mi Bombardier yenu sipandi tena!!!

    Kamilisha story yako vzur Kwa hyo ulienda dar au ulilala hapohapo Kia
  8. the reformer

    Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Big up Pasco!! ushauri mzur sana...Wahenga walisema asiye sikia la mkuu huvunjika guu...wasipokusikia shauri yao ....yetu macho hyo sinema ya tar moja sept.
  9. the reformer

    Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Masud Kipanya..atakua ni mashoto haya uliyo yazungumza hapa ana fananana nayo sana..Hebu watu wake wa karibu tujuzeni.!!!
  10. the reformer

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Chadema haiwezi tena kua chama cha upinzani..kitabaki tu kua chama cha maandamano na fujo za kutafta kick mtaani au dampo la kupokea uchafu wa ccm.lazma ashitakiwe mbivu na mbich zijulikane..
  11. the reformer

    Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

    ushauri mzur..i hope atautendea kazi
Back
Top Bottom