Recent content by The Puncher

  1. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Mashamba hayakai. Hili shamba lilishauzwa wakuu. Kuna jingine eka 113 linauzwa milioni 60. Cheki hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/shamba-ekari-113-linauzwa-mufindi-linafaa-kwa-mazao-mbalimbali.2475976/
  2. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

    Habari wakuu, "Ukitaka mali utaipata shambani" Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati. Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
  3. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Vodacom M-Pesa na PayPal Washirikiana kurahisisha malipo ya Kimataifa kwa Watanzania

    Oya hii ni kweli mzee. Mimi napokea pesa kwa PayPal. Ni simple sana!
  4. The Puncher

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Kununua kwa PayPal ni rahisi na salama. Fungua akaunti ya PayPal hapa Send Money, Shop, Manage Payments & More | PayPal TZ jaza taarifa zako sahihi. Cheki hapa: https://youtu.be/a3b6jGzcCoQ Unganisha PayPal akaunti yako na Benki akaunti yako. Link kwa kutumia zile namba 16 zinakuwa kwenye...
  5. The Puncher

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Sajili laini ya Voda yenye tarakimu za zamani kama 075... au 076. Laini mpya za 072... zinakataa. PayPal bado haizitambui. Hakikisha namba hiyo ya voda unaiweka kwenye account yako ya PayPal. Kama PayPal account yako ulikuwa unaitumia kufanya malipo, basi hawatakudai verification documents...
  6. The Puncher

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Acha ubishi. Mimi nimeunganisha mwezi August. Ninapokea pesa kwa PayPal yangu.
  7. The Puncher

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Sasa unaweza kupokea pesa PayPal kwa kuiunganisha na M-Pesa App.
  8. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Si lazima ucomment kama kitu hakikuhusu.
  9. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Uzi unawahusu wana PayPal.
  10. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Sasa kama unajua ni scammer kwa nini ulitaka kulipia hivyo vitabu vyake kwa PayPal?
  11. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Nani scammer sasa?
  12. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Ushindwe wewe tu. Just as simple as that!
  13. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Link PayPal account yako na bank account yako. Ukifanya hivyo PayPal itakata kile kiasi unacholipa kutoka kwenye account yako ya benki. Ninafanya malipo kibao kwa PayPal tangu 2018. Niliunganisha PayPal yangu na CRDB account yangu. Ni rahisi na salama.
  14. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Unamaanisha unataka kulipia hivyo vitabu kupitia PayPal?
  15. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Bili zipi?
Back
Top Bottom