Recent content by The oris

  1. T

    msaada:mganga amenipa dawa ya kurudiana na mpenzi lakini kila mwanamke ananipenda

    Kuna msichana aliniacha kwa maumivu makali mno wakati bado nina mpenda na tulipanga mipango mingi sana na tulidumu katika mahusiano kwa miaka 5.Nilijaribu kila mbinu kurudiana na huyu msichana lakini ikashindikana ,nilijaribu kuvumilia maumivu kwa miaka miwili ili nimsahau lakini sikuweza kabisa...
  2. T

    Jinsi ya kumuita mtu kila Jua linapozama na linapochomoza

    no mkuu nimesahau vazi la aura yangu,nikikamilisha vazi i will tell you boss
  3. T

    Jinsi ya kumuita mtu kila Jua linapozama na linapochomoza

    Nimeshaanda vitu vyote mkuu naomba maelekezo
  4. T

    Jinsi ya kumuita mtu kila Jua linapozama na linapochomoza

    Rakims hapo ktk moto aina nne (vyanzo vinne) ina maana nataharisha vyanzo vinne vya moto mfano kibatari,mshumaa,mkaa na kuni? ...
  5. T

    funguka,,,

    me against the world ...2pac
  6. T

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Wataalamu naombeni ufafanuzi,nimesikia watu wakibishana kuhusu ilo
  7. T

    Ushauri: Bado miezi 3 ya harusi, mpenzi wangu ananiambia hanitaki tuachane

    Wakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki . Siwezi kuelezea ..amesema amepata mwanaume mwingine zaidi yangu Nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo. Nimetoka nae mbali sana almost 5yrs ya mahusiano, Naona kama ndoto hakuna baya nililomfanyia Wanawake...
  8. T

    Nimempangia nyumba Ex wangu yeye na jamaa yake

    Huyu ex wangu alinisaidia sana kipindi nipo a level mpaka chuo, kifupi yeye ndiye aliyenisomesha mpaka nimemaliza chuo. Nyuma ya pazia alikuwa anatumia pesa za jamaa yake kunisomesha mpaka namaliza chuo baadae akaniambia tuachane tu yeye aendelee na jamaa yake kiukweli niliumia sana roho...
  9. T

    Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

    Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie. Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25. Daah roho iliuma...
  10. T

    Baada ya Makete jana nimetua Bumbuli kwa Makamba

    ofisi ya mbunge January makamba
  11. T

    Baada ya Makete jana nimetua Bumbuli kwa Makamba

    Nyumba za wafanyakazi wa hospital
Back
Top Bottom