Recent content by The only

  1. The only

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aumizwa na kutokwa na machozi kufuatia vifo vya watu 32 mkoani Morogoro kufuatia ajali ya magari. Atoa salamu za pole na rambirambi

    Hizi ndo topic za kutochangia ngoja nikaangalie ,jaman mwenye connection ya harmonise naiomba inbobo
  2. The only

    JamiiForums Tanzania Demu mwenye hashpapy ameniambia nije mtandaoni niwasifie Single mother ndio ainipe Uroda

    Namjua huyo demu anaukwimwi shauri yako
  3. The only

    JamiiForums Tanzania Jamaa amwaga chozi kisa kukuta SMS zangu kwenye simu ya mwanamke wake

    Hawa ndo wanaleta elnino
  4. The only

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ana dimpoz na tacle la maana

    Sasa kwa nini huweki picha,nyi ndo mnafanya ije elnino
  5. The only

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

    Ok guys najua haiwahusu ila leo nimefanikiwa kupata kitambulisho cha nida
  6. The only

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Ok guys najua haiwahusu ila leo nimefanikiwa kupata kitambulisho cha nida
  7. The only

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

    Umeandika kwa uchungu sana
  8. The only

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba nae mmeanza kumuundia zengwe?

    Wanampa ridhiwan
  9. The only

    JamiiForums Tanzania Nilala Nikaota Malkia Huihui Kapinduliwa Ugagagigikoko, Kuamka Kumbe Ndoto!

    Njoo central ili utusimulie vyema kijana
  10. The only

    JamiiForums Tanzania Za Lameck zinahesabika?

    Mm sijaona shida yeyote ya hiyo video
  11. The only

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

    Ww angalia kama utateuliwa basi hutakaa
  12. The only

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

    Wengi kabisa mfano ukipewa uteuzi niite mbwa kwa siasa za hivi,wenzio wako kufanya chama kipendwe kwa kuongeza wanachama kwa kuteka wasio wachama kwa kuwa wema na kupinga kwa hoja ,ww kutwa sijui kakudanganya nani kuwa ili uwe mccm mzuri uwakandie chadema ,wana ccm wa kwel kama january...
  13. The only

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

    Kaka nani amekwambia tanzania kuna ugomvi wa ccm na chadema??? Au hujui tumeoleana tumezaa ,hii chuki ya kufurahia mtu kuumwa umeitoa wapi?? Ndo maana wana ccm viongozi wengi hawakupendi wanasema mnafiki huaminiki
  14. The only

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

    Forever
Back
Top Bottom