Mafanikio huja kwa kupitia mlango wa nyuma, tunavyovitegemea mara nyingi havitupi msaada, na vile tunavyovichukulia poa ndivyo vinavyokuja tuheshimisha
Kwa namna nyingine ni sawa na kusema
kuna Jesus wengi sana, yupo wa man-city, yupo wa yanga, yupo bar-yesu (aliyelaaniwa na mitume) pia Yupo YESU wa nazareti, na yawezekana kabla ya Yesu wa nazareth kulikuwa na Yesu mwingine lakini hii haimfanyi Yesu wa nazareth kutofaa tena...
kuwepo kwa huyo...
naweza kukujibu hivi....
Kama ambavyo mwalimu wa Civics anaweza akawa ni mmoja (form 1-4) lakini katika mtihani wa csee kila mtu akajibu essays kwa vile alivyokuwa amemuelewa mwalimu wake
Mungu naye ni mwalimu, huwafundisha watu wake neno lake, lakini tumepishana katika uelewa, huyu kamuelewa...
Kwa ufahamu wangu mdogo katika lugha unaposema ALIKUWA hiyo ni past tense, so hana vigezo vya kuitwa Mungu tena maana uwezo wake ni wa wakati ule sio sasa...
Pia umesema "kuliko miungu mingine mingi" nashukuru haujasema yote...means hana vigezo vya kuwa Mungu kwakua sio OMNIPOTENT, alikuwa...
sidhani kama amekataliwa kwasababu ya race yake, amekataliwa kwakua aliyesajiriwa na aliyekuja kupata chanjo ni watu wawili tofauti, aliyejisajiri ni mweupe na aliyefika ni mweusi.
angejisajiri kama mtu mweusi halafu akakataliwa asipate chanjo ningesema kuna ubaguzi
Bro! hii ipo mpaka sasa, hakuna biashara ya utumwa lakini Utumwa wenyewe upo.. mambo mengi jamii za watu weusi hawana kauli yao,ila wanataka kauli itoke kwa wazungu
huu ni utumwa.....
kuna wakati PSB aliwahi sema KIKITOKA ULAYA NI TECHNOLOGY lakini kikitoka Africa hicho kitu watasema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.