Vifaa vya ujenzi vyapanda bei

Vifaa vya ujenzi vyapanda bei

Bila ukatili na unyama huwezi kumaliza hizi mambo, kila siku itakuwa vilio tu na vigenge fulani vya watu vinaenjoy maisha kwa kugeuza watanzania watumwa wa kisasa... Ukicheka na hawa watu matokeo yake ni kutesa raia na kelele zikidhidi kwa raia watu hawa hawa wanageuka na kuwa madui zako na kujifanya nao wapo upande wa raia..
 
Sijaelewa heading ina mahusiano gani na content
 
Ni zoezi la kufundishia katika nidhamu ya matumizi ya pesa.
Ile: Lete mbilimbili hapa, Ile meza pale wasikilize wanatumia nini, Kona Ile pale peleka K-Vant kubwa mbili, halafu tuitie yule mchoma nyama jikoni, nk, imeanza kufifia. Naona imebaki machimboni!
 
Sijaelewa heading ina mahusiano gani na content
Easy come is go(vitu vizuri huja na kuondoka)tuje kwenye content ni hivi ile elfu 20 ilisha ondoka sasa hivi ni machungu ya elfu 26 means nipo kwenye kipindi kigumu (difficult time)
 
Easy come is go(vitu vizuri huja na kuondoka)tuje kwenye content ni hivi ile elfu 20 ilisha ondoka sasa hivi ni machungu ya elfu 26 means nipo kwenye kipindi kigumu (difficult time)
nilikuwa sihitaji kutafsiriwa, nilikuwa najaribu kupata logic ya ulichoandika ambapo bado sijaipata kiufasaha. Anyway ni kweli maisha yamepanda sana
 
Ni zoezi la kufundishia katika nidhamu ya matumizi ya pesa.
Ile: Lete mbilimbili hapa, Ile meza pale wasikilize wanatumia nini, Kona Ile pale peleka K-Vant kubwa mbili, halafu tuitie yule mchoma nyama jikoni, nk, imeanza kufifia. Naona imebaki machimboni!
Waliokuwa wanafanya hivyo kwenye uchumi tunaita ni currency discharge, distributary or supply channels.
 
Back
Top Bottom