Recent content by The Only Kilo

  1. The Only Kilo

    byekera Bukoba mjini

    Mkuu hii nayo naambiwa na mkuu wa mkoa
  2. The Only Kilo

    byekera Bukoba mjini

    Mkuu nipe namba zinazopatikana
  3. The Only Kilo

    Bukoba town byekera kasarani. hp g6 ya blue

    Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali
  4. The Only Kilo

    Bukuba Kuna nini jamani.

    Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali
  5. The Only Kilo

    byekera Bukoba mjini

    Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali
  6. The Only Kilo

    HP g6 ya blue imeibiwa naomba mnisaidie

    Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali. Pia naomba msaada wa kisheria kwa kua namshukia jirani kwa asilimia mia moja
  7. The Only Kilo

    Wanaume mliolost kinacho sababisha mchapiwe wake zenu sio uchumi mbaya ni attitude zenu za kupanic

    Sjawahi comment kwa lara 1 ila kwa hili ni pm nikupe shingi elf 10. Nipo serious sana. This one of the golden article ever published
  8. The Only Kilo

    Ni kwanini Tanzania Haitaji viongozi wa kisiasa kuendelea?

    Tunaitaji kiongozi wa kuimarisha ustaarabu wa Mtanzania pamoja na kuadilisha watanzania, ikiwa ni jambo linaloitaji mtu mwenye msimamo na asiyeyumbishwa na chama, watu flani wenye uwezo kifedha au kimasali kwa namna yeyote.
  9. The Only Kilo

    Ni kwanini Tanzania Haitaji viongozi wa kisiasa kuendelea?

    From third World to First: Singapore and the Asian Economic boom Case study. From third world to First ni kitabu kilichoandikwa na waziri wakwanza wa singapo Bwana. Lee Kuan Yew. Singapo ni inchi ambayo imetengenezewa na watu (man made) ikiwa maana ni inchi ambayo haina rasimali za asili kama...
  10. The Only Kilo

    Taarifa.

    UKIFIKA ule mda wa kujiandikisha kupiga kura vijana wote kuanzia umri wa miaka 18 wajiandikishe kupiga kura na ikifika kipindi cha upigaji kura kampigie kura yako mtu YEYOTE kutika ukawa. Usiache na ukiache usilalamike inchi inaongozwa na wanyonyaji, wala rushwa. Wengi ni washabiki na sio...
  11. The Only Kilo

    Kuhusu kununua vitu online nje ya nchi, kuna ushuru?

    Wadau naomba kujua kama endapo ntanunua bidhaa kutoka mtandaoni mfano ebay au amazon ntalipia tena gharama nyingine itakapo fika hapa nchini kwa kutumia urgent kama DHL au FEDix? Asanteni :noidea:
  12. The Only Kilo

    Kwanini dollar inapanda namna hii kila kukicha?

    Wadau wa uchumi naomba mnipatie majibu yakinifu kwanini dollar inapanda sana kila hasubuhi. Pia EXCHANGE RATE inafanyika je na nivigezo gani vinafuatiliwa kuandaa Swali la nyongeza: Hivi ukinunua kitu online mfano ebay zile bei za bidhaa plus usafirishaji zinakutozwa bei mara mzigo ufikapo...
  13. The Only Kilo

    Nahisi bado nampenda

    Amua na moyo wako. Fuata moyo wako lakini usiaxhw ubongo wako nyuma.
Back
Top Bottom