Recent content by The Old Lady Of Bepele

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Kijiji cha Ukumbikakoko, Kata ya Ukumbisiganga, Wilaya ya Kaliua, Mkoa wa Tabora. Kwanza kabisa Kijiji hiki kipo mpakani mwa Mkoa wa Tabora na Katavi, Wilaya ya Kaliua na Tanganyika. Shughuli Kuu ni uvuvi kupitia Mto Ugalla. Pia wakulima na wafugaji. Vinyumba vipo hapa na kuleeee kama mapengo ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

    Jaribu kufanya biashara ya bidhaa mchanganyiko kwanza huku ukipandisha mtaji. Hii pia itakupa uzoefu wa biashara kupitia changamoto mbali mbali. Jipe angalau miaka mitano. Then after anza fikiria biashara nyingine ya kuongeza kipato. Hii biashara ya mwanzo usiiache.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) aliyefanya upasuaji nyumbani hakuwa muuguzi

    Zahanati ya Kamsekwa ipo Wilaya ya Kaliua. Hii ni baada ya Mwaka 2012 Wilaya ya Urambo kugawanywa na kutoa Wilaya mbili.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Pambana na hali yako msaliti mkubwa wewe. Mwanamke Mpumbavu, Huivunja Ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe..
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Khaah! We jamaa bwege kabisa. Oa mke wa pili ndio dawa yake. Nchi bila upinzani hiyo ni nchi mfu.
Back
Top Bottom