Recent content by the next pastor

  1. the next pastor

    Rais Magufuli apumulia mashine kuifunika Legacy ya Kikwete

    Akili yako ndivo inawezakana Una matatizo kwenye mfumo wako wa ubongo, lkn siku akitoka madalakani wewe utakuwa miongoni mwa watu wa kumsema mema na kuona aliyepo kwa wakati kuw Hana maana hizo ndo Akili za Watanzania wala sikushangai, wenzako wanabishana kwa hoja we unabishana kwa matusi,unaona...
  2. the next pastor

    Mbowe ameshindwa kesi kabla hata haijaanza!

    Umeongea la muhimu sana maana humu watu wanavyoongea ni km mahakimu vile alafu unashidwa umuelewe yupi ngoja tusubir
  3. the next pastor

    Mheshimiwa Rais, hivi Makonda ulimchagua au ulichaguliwa?

    Ukiulizwa utoe ushahidi wa hivyo vyeti unaweza kuwa nao???? Na wasiwasi wako wewe kwa Makonda ni nini, naimani aliyemuweka anamuelewa vyema kuliko wengne na bado namuamini mhe rais kwa kutanguliza masirahi ya Watanzania mbele so km kuna tatizo kwa Makonda naamini haki itatendeka.
  4. the next pastor

    Rais Magufuli apumulia mashine kuifunika Legacy ya Kikwete

    Watanzania hata kama mgelambwa miguu bado mngelalamika tu, kwenda zenu huko, wakati wa mhe. Kikwete ninyi ndo mlikuwa mnamsema vibaya leo hii eti ni mwema,wewe ungepewa hiyo nafasi ungefanya nini kazi yenu kuweka siasa kwenye masirahi ya taifa, badilikeni kuweni watu wa misimamo.
  5. the next pastor

    Hongera Rais Magufuli kwa kurudisha nidhamu kwa watumishi wa umma

    Binafsi sina chama ila namchagua mtu kulingana na utendaji na uwajibikaji za uzalendo juu ya taifa na watu wake,lkn kitu kimoja nimejifunza kwa watanzania ni wanafiki tena wanafiki haswa,na kwa taarifa yenu hata km angekuja rais wa nchi gani kutawala hapa Tanzania bado watanzania...
  6. the next pastor

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza kiberiti

    Naomba msaada kwa anaejua malighafi zinazotengeneza kiberiti cha njiti na gharama za mashine zake na mahitaji yote yanayotakiwa mpaka kiberiti kukamilika. Pamoja na jinsi ya kutengeneza toothpick na mashine vilevike. Niko serious kama kuna mwenye ufahamu juu ya haya anisaidie.
Back
Top Bottom