Mikopo inatajirisha sana sana. Kikubwa ukikopa, rejesha kwa kutumia Faida na lengo lako hapo linakuwa kwamba utakapomaliza marejesho ule mkopo utabaki kuwa mtaji wako. Ukifanya hivyo mara 3 au 5 unatoboa. Ukishakopa unapaswa kujinyima kwa Nguvu zote, hata aumwe nani au afe mtu, usiitumie pesa ya...
Wana JF natumaini mko salama.
Naomba kushirikisha suala moja hapa, Katika kupambana kwangu na harakati za kujikwamua, nikafanikiwa kununua Kiwanja na kujenga nyumba.
Pia nikafungua biashara ya bidhaa za Jumla jumla za Dukani. Nilianza na Mtaji wa milioni 4, Baadae Mtaji ukafika mpaka milioni...
Kama una Matatizo na Stress zinazotokana na kukosa Pesa nenda Bank, ukishafika unajimalizia kwa kuanguka na Pressure na kazi yako ya kuja Duniani inakuwa imeishia hapo.
Mi naona hao Wanafunzi wa Yesu na Mitume wengine kama Muhammad, hawakututendea haki, walipaswa kuuliza maswali magumu kabisa yanayohusu Mungu na uumbaji. Walipaswa kuuliza maswali mengi kabisa mpaka kusiwepo na Mashaka yoyote. Anagalau Musa aliwahi kuuliza kinachoaminika kuwa Mungu kwamba kwani...
Mimi ninavyoona haya mambo ya Mungu sisi wanadamu tunayajua kwa umbali sana sana yaani ni kama kipunje Cha ulezi ndo tunajua. Ila Kuna Mambo makubwa sana Kuhusu Mungu hatuyajui bado. Sasa hapa Kikubwa Wacha tuamini kwenye kakiwango hako hako kama kapunje ka ulezi. Mengine tutayajua Yesu akija au...
Huwezi kuwa Kila unapohamishwa lazima ujenge. Tena ushukuru Chalinze Bagamoyo ni Karibu tu ukizingatia miundombinu ya barabara. Ukiona unachoka panga room ya kawaida tu uishi huko ila Kila weekend unarudi kujumuika na familia ili kusevu nauli ambazo utaanza kujenga taratibu Chalinze
Hahahahah, ilinitokea Mimi Kuna magroup Facebook nilifuatilia yanahusu mambo ya kukosoa Mambo ya Mungu nikaamua niondoke nilianza kuhisi kupotea hivi na nikaona kama naanza kuhama reli. Nikablock makundi yote.
Mfano alihoji kwa ukubwa wa Safina aliyotengeneza Nuhu na vitu vilivyoingia ndani ni...
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
gari
kujua alipo paul makonda
maana
makonda
mwabukusi
ngorongoro
serikali
tls
vyombo vya habari
vyombo vya habari vya uchunguzi
wamasai
wamasai ngorongoro
wapi
yuko
yuko wapi
RIP rafiki yangu. Sijawahi pata rafiki mwingine huyu jamaa. Wengine wababaishaji tu, wakiona unafilisika wao wanafurahi. Lakini Rafiki yangu alikuwa hawezi kukubali Mimi nitetereke kibiashara anaweza kuspend siku tatu kwenye ofisi yangu anahangaika kuinusuru ofisi isife, mpaka sometimes unaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.