Naomba ushauri kuhusu nyumba yangu Bagamoyo

Naomba ushauri kuhusu nyumba yangu Bagamoyo

Huwezi kuwa Kila unapohamishwa lazima ujenge. Tena ushukuru Chalinze Bagamoyo ni Karibu tu ukizingatia miundombinu ya barabara. Ukiona unachoka panga room ya kawaida tu uishi huko ila Kila weekend unarudi kujumuika na familia ili kusevu nauli ambazo utaanza kujenga taratibu Chalinze
 
Nimehamishiwa Chalinze kutoka Bagamoyo, lakini tayari nmejenga ila Bado sijamaliza finishing lkn familia yangu mke na mtoto mmoja wanaishi hapo na Mimi nachoka kurudi Bagamoyo kwenda na kurudi. Sitaki kupanga Chalinze maana najua utamu wa kuishi nyumbani kwako.

Nyumba tayari nimeweka umeme na maji, Bado finishing Tu tiles na rangi Pamoja na gypsum bodi.

Namshukuu Mungu Chalinze nimepata kiwanja kingine, nimeanza kutamani nipauze kule bagamoyo halafu pesa nitakayopata ninunue kiwanja bagamoyo nije huku Chalinze nijenge nyumba nyingine upya katika kiwanja hiki cha Chalinze kiwanja kiko sehemu nzuri sana kuna nguzo ya umeme na maji yapo karibu sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu. Niuze kule Bagamoyo au nikomae nimalizie nipangishe. Nije kupanga huku Chalinze?
Halafu ukihamishiwa Ubena Zomozi utauza tena hio ya Chalinze ukajenge huko?
Eti raha ya kukaa kwako unafikiri wote waliopanga hawana nyumba? Wengine wana nyumba nzuri kuliko walizopanga na uwezo wa kujenga tena wanao ila huwezi kujenga kila mahali kisa ukae kwako.
 
Malizia hiyo nyumba upangishe kama ipo sehemu nzuri ibadilishe iwe ya biashara mfano frem au ka lodge.
Pia tafutia hati miliki hicho kiwanja chako cha bagamoyo kuna mabenki yana huduma ya (morgarged salary loan) mikopo mikubwa unaweza ukakopea ukafanya ishu kubwa zaidi.
Yaani uuze nyumba simply kwamba umepata uhamisho from bagamoyo to chalinze? Watu kibao wamehamishiwa dodoma kutoka dsm hawajauza nyumba zao.
Unaweza kuuza nyumba labda kama ukiwa na shida kubwa sana ya kimatibabu au kesi mahakamani sio uhamisho
Hamia chalinze mazima na familia yako panga huku ukijenga mdogo mdogo na hapo chalinze
 
Nimehamishiwa Chalinze kutoka Bagamoyo, lakini tayari nmejenga ila Bado sijamaliza finishing lkn familia yangu mke na mtoto mmoja wanaishi hapo na Mimi nachoka kurudi Bagamoyo kwenda na kurudi. Sitaki kupanga Chalinze maana najua utamu wa kuishi nyumbani kwako.

Nyumba tayari nimeweka umeme na maji, Bado finishing Tu tiles na rangi Pamoja na gypsum bodi.

Namshukuu Mungu Chalinze nimepata kiwanja kingine, nimeanza kutamani nipauze kule bagamoyo halafu pesa nitakayopata ninunue kiwanja bagamoyo nije huku Chalinze nijenge nyumba nyingine upya katika kiwanja hiki cha Chalinze kiwanja kiko sehemu nzuri sana kuna nguzo ya umeme na maji yapo karibu sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu. Niuze kule Bagamoyo au nikomae nimalizie nipangishe. Nije kupanga huku Chalinze?

Panga nyumba tu sheikh...Kuanza Upya ujenzi inachosha.
 
Hivi unajua laki moja kwa mwaka ni sh. Ngapi ni ml 1 na laki mbili na unajua kwa miezi sita ni laki 6 kuliko huna kabisa kunasiku umekwama hiyo akiba ndio ipo hiyo ni hela mzee baba hata akiopoa atapata mteja wa laki nanusu
😂😂..Yani unaekeza labda m20 Ili upate laki kwa mwezi..,?? Wewe unaleta utani
 
Nikwel pia nimefikilia kutafuta usafiri.
Ingekuwa mimi ndio wewe kwa mfano familia ningeiacha Bagamoyo halafu ningepanga chumba kimoja tu Chalinze hata cha elfu 30 kama geto langu.
Baada ya hapo kila wikiendi ijumaa napanda daladala narudi Bagamoyo kukaa na familia yangu halafu jumatatu alfajiri narudi Chalinze naingia kazini.
Na wakati huo najipanga kununua kiwanja kingine chalinze na kuanza ujenzi wa nyumba nyingine ikikamilika familia naileta chalinze nyumba ya bagamoyo naipangisha.
Hili linawezekana maana sidhani kama Chalinze viwanja vina bei sana kama ilivyo dar
 
Ukihamishwa tena utauza hapo. Mimi ninakushauri acha kuuza nyumba ya Bagamoyo. Jipinde tu ujenge hapo chalinze nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom