Recent content by The next JPM

  1. The next JPM

    Naomba kuuliza, chama Cha walimu Tanzania ni kwa ajiri ya walimu?

    Samahani wakuu, Naomba kuuliza Iv chama Cha walimu Tanzania ni kwa ajiri ya walimu waliopo kwenye mfumo wa ajira au ni kwa hata kwa wale ambao hawajapata ajira.... Napenda kujua, mm ni mwanafunz wa ualimu mwaka wa pili CHUO kimoja apa Tanzania
  2. The next JPM

    Ushauri wizara ya elimu

    Hope Wana Jf wote ni wazima, Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree Kwanini? Ni wakati sasa wale ambao ni Best...
  3. The next JPM

    Inauma sana jinsi hii taaluma inavyo dharauliwa

    Kweli, akili zao ni zero kabisa
  4. The next JPM

    Inauma sana jinsi hii taaluma inavyo dharauliwa

    Habar Wana Jf hope wote ni wazima,, Kuna kitu kinaniuma sana kuona Kila mtu anadharua taaluma ya ualimu, Madaktari, ma engineer na watu wataaluma mbalimbali wamekuwa na kasumba mbaya na inayo umiza sana ya kudharau kada hii adhimu ya ualimu,, Kila mtu ana attack taaluma ya ualimu, Leo machozi...
  5. The next JPM

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Kwanini wenye majina ya Asili wengi hawana majina ya kiisalmu??
  6. The next JPM

    Nakaribisha swali lolote la biology, Karibuni walimu

    Nakaribisha swali lolote la biology, Kuanzia form one hadi form six Karibuni 🙏🙏 Au kama Kuna topic yoyote ngumu, naweza fanya summary na topic ikaeleweka, walimu wa biology karibuni kuuliza
  7. The next JPM

    Epuka wanawake ili uishi Kwa furaha

    Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada. Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanao itwa Wanawake. Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake...
  8. The next JPM

    Ninaweza sema sasa nimepata mwanamke sahihi, mwenye sifa zote za Mke

    Kaka me naomba niwe chair kabisa wa kataa ndoa, ndoa ni utapel
  9. The next JPM

    Walimu kuajiriwa nje ya taaluma yao mama

    Habari Wana Jf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya, Pasi na kupoteza muda niende kwenye lengo la Uzi huu. Wana Jf Mimi naona ni Wakati sahihi sasa serikali itoe ruhusa kwa walimu waanze kuajiriwa kwenye nafasi zifuatazo; @ ustawi wa Jamii @ uafisa utendaji @ idara ya nida na tasaf...
  10. The next JPM

    Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Nashukuru sana kwa ushauri mzuri Mungu akubarik sana
  11. The next JPM

    Inakuwaje wanafunzi wanafeli hesabu wanafaulu physics na chemistry

    Sikieni Kuna ugojwa unaitwa numerical disorder Shaur zenu🤣🤣
  12. The next JPM

    Nadhani ni muda wa kuwa na teachers with no boundary

    Habari za mapambano wakuu, Mimi ni mwanafunzi moja ya chuo kikuu kimoja apa Tanzania, Nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi ( mwaka wa pili). Ni ended kwenye lengo la Uzi huu, kwa utafiti wangu mdogo nimegundua Kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu, kwa upande wa masomo yote yaani sayansi...
Back
Top Bottom