Recent content by The moon is dead

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Hawana lolote,hii ni promise ya muda mrefu sana hawajaanza leo kusema hvyo.Awali walisema watagawa hizo tablets kwa maafisa elimu kata na pikipiki ili kurahisisha usimamizi wa elimu ktk ngazi ya kata lkn kimya. Mwaka jana wametoa waraka kwamba watatoa posho ya madaraka kwa wakuu wa shule na...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

    Mala zote mm najua mtu aliye elimika ana attack issues not personality.Inawezekana ana hoja lkn kitendo chake cha kuwaita walimu WAPUMBAVU sio cha kisomi ni UJUHA na UHUNI tu ndio uliokuongoza kufikia kutoa hii thread.Be smart bwana.Hata hvyo ww kutofaidika na CWT inategemea na matatizo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu abwagwa kwenye kura za maoni ubunge wa viti maalum Singida

    Nitawashangaa sana wav wa Singida wakimpeleka mjengoni huyu mdada.Huyu anafaa kwenda kucheza "Hardcore movies"
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Jamaa kajifungia kwenye "The beast" kasepa kamwacha Kenyata anashangaa mataa ya JKIA
  5. T

    JamiiForums Tanzania We nee our money

    Tumefanya kazi ya kuchosha muda mrefu sasa na tazama wakati umefika bosi atupe chetu tusepe! Guys the moon is dead we need our money! Hahaaa mimi mgeni jamani hodi humu Jf.
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mhadhiri wa UDSM, Prof Tambila afariki Dunia

    We lost one of a great Proffesor especially in the history of the political economy of Tanzania.Yaan km ww kweli ni Historian umesoma Masters alafu hujafundishwa na huyu marehemu ktk Colloquim basi umekosa mengi sana.Lilikuwa jembe la ukweli,mwalimu ambaye alihakikisha unasoma kile...
  7. T

  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    I strongly believe on Pombe JM,our president to be.
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    I strongly believe on Pombe JM,our president to be.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu CCM: Je, kanuni zimevunjwa?

    U seems to a victim of whats going on in Dom
Back
Top Bottom