Recent content by The Messenger

  1. The Messenger

    Dada zangu: Mwanaume aliyekuacha kwa dharau na dhihaka akiomba mrudiane, usikubali

    Hakuna mwanamke duniani anayeachwa aka-move on. Ukiona unaachwa na hauumii ujue tayari umekua MALAYA.
  2. The Messenger

    Polisi wa usalama barabarani ni wengi kuliko askari doria

    Na sikia hua wanapewa TARGET? Kuna kaukweli hapa?
  3. The Messenger

    Kuna raha gani mnaipata kwenye bia/pombe?

    Kwani wewe ulishawahi kupata raha gani ambayo huwez ifananisha?... Tuanzie hapo ili niweze kukuelezea.
  4. The Messenger

    Kila nikiingiwa na hofu natokwa manii. Je, ni hali ya kawaida au ugonjwa?

    Ni kipururu tu kinakua kinawasumbuaa... Mngekua mnakojozana at least twice a week huwez kuona iyo kitu tenaa
  5. The Messenger

    Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

    Kwaiyo mkuu unatushauzi tuendelee kuwapa wanawake ELA? Basi sawa saiv ntaongeza kiasi cha kutoa... Lets have a beer
  6. The Messenger

    Wanaume walivyo kwenye mitandao

    The future is exciting
  7. The Messenger

    Toyota carina Ti inauzwa 4milion

    mbona airbag imefumuka?
  8. The Messenger

    Picha fikirishi

    Hapa kuna ujumbe wa kutosha...
  9. The Messenger

    Wanaokunywa pombe muda wa kazi hela huwa wanapata muda gani?

    Wewe huwa unapata wapi usingizi wakati wenzio wakiwa wanatafuta ela? Muda wako wa kulala ndo muda wangu wa kutafuta elaa, na mda wako wa kutafuta ela ndo muda wangu wa kulewa. Usiniulize na lala sangapi!!! Ntakujibu kua ntalala siku pumzi imekata.
  10. The Messenger

    Kuweka private whatsup dp ni ubinasfi wa kishamba

    Ukisikia Paaaaaaaa! Hahahaa
  11. The Messenger

    Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

    Mkuu labda unadhani riba ipi ndo fair na kwa mda gani? Maana uangalie na usawa na hawa watu wa financial institution wanarun ela za watu kwa mkopo...
  12. The Messenger

    Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

    Mkuu mkopo uliokopa na riba was very fair.... Maana kwa haraka haraka riba ilikua ni 18% perannal... ukiipigia for 6 years ulitaka urudishe kiasi gani na umekaa na ela za watu? Interest inacover vitu kama - Time value of money - Inflation rate - Risk on loan premium etc etc.... Ulikopea bank...
  13. The Messenger

    Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

    Wale wanaosema Dar ndo Tanzania, waambieni ARUSHA ni EAST AFRICA....
Back
Top Bottom