Recent content by The MaskmaN

  1. The MaskmaN

    Wanawake na mabinti 16 Mbaroni kwa Kuhamasisha Ukahaba wapo wanaocheza "Kibao Kata"

    Noma sana! Nakumbuka mwaka jana nilimtembelea rafiki yangu Buza,kuna ukumbi ukitoa buku unachovya kidole kimoja..elfu kumi unachovya vidole kumi mpaka mkono unaloa
  2. The MaskmaN

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Hapana mkuu,Mayalla ndio maana yake njaa wasome wengine juu
  3. The MaskmaN

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Mkuu Nguruvi3 nimependa uandishi wa hoja zako,umeelezea kwa lugha nyepesi na yenye kueleweka saana.. Kwenye hili sakata la COVID 19 kuna makosa pande zote 3,chama,wabunge na spika. Lakini hoja kuu ya pascal ni chanzo cha tatizo...na hili thread yake kama nimemuelewa ka base kwenye kuishauri...
  4. The MaskmaN

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Kama hili linajulikana ni kipi kinachowazuia kuchukua hatua juu ya mwenyekiti? Kwa kumbukumbu zangu jamaa si mara ya kwanza anachoma dawa ya mbu disko.
  5. The MaskmaN

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Nilicho muelewa bwana Pascal Mayalla hayupo kujadili goli ni halali ama si halali,bali anataka kujadili build up ya goli,yaani kabla ya goli la speaker je movement nzima ya goli imeanzia wapi?!! Na kingine nilichojifunza CCM wanatumia sana madhaifu ya CHADEMA kuwaburuza...mh.spika nahisi kaisha...
  6. The MaskmaN

    Sasa ni Wazi Ujasusi wa Nchi za Magharibi Unazidi Kuharibu Mipango ya Putin Nchini Ukraine

    Daah boss sijui ume translate au vipi? Maana nimekaza fuvu lakini nimeambulia mafua tu.
  7. The MaskmaN

    Mkiendelea kukaa kimya, Mungu atamsemea Rais Samia

    Hili andiko lako mkuu,kwa jicho la tatu lina ukakasi,..wachache sana watakuelewa..ila kwa haraka haraka umetumwa kumchafua mama kwa fasihi.
  8. The MaskmaN

    Je, Waziri Mkuu anajitenga na Serikali?

    Unaelewa majukumu na kazi za hao unao waona hawana maana?! Kwahiyo kwa kauli yako Shule hazipaswi kuwa na Mwalimu Mkuu? Kwahiyo kwa kauli yako Jeshi alipaswi kuwa na Chief of Defence Forces? Ebu ficha ujinga wako. Hao wote wanateuliwa na wala hawachaguliwi na wale waliochini yao.
  9. The MaskmaN

    Siyo sahihi Waziri Mkuu kumkemea Mkaguzi wa Ndani MSD

    Alichofanya mbona kipo sahihi,tena hivyo ndio itamuamsha waziri wa afya kujiuliza alikuwa wapi mpaka Waziri mkuu anatoka alipotoka kuja kumuwajibisha Mkaguzi mkuu wakati yeye yupo!...that's an indirect criticism to Waziri wa Afya na wote walio juu ya Mkaguzi. #bampa2bampa #mpaka2025
  10. The MaskmaN

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Kama mie ndio sabaya nikitoka tu pale getini napiga Risasi mbili hewani..taah! taah!
  11. The MaskmaN

    Dark days 17/03/20

    Duuh
  12. The MaskmaN

    Kwa tuliopitia machozi, jasho na damu katika ukuaji wetu

    Dingi mdogo nasikia alilowea mozambique. Japo nae sijamsikia toka siku ile ya Ubungo.
  13. The MaskmaN

    Kwa tuliopitia machozi, jasho na damu katika ukuaji wetu

    Ahsante sana ndugu, Yameishapita.
Back
Top Bottom