Mkiendelea kukaa kimya, Mungu atamsemea Rais Samia

Hili andiko lako mkuu,kwa jicho la tatu lina ukakasi,..wachache sana watakuelewa..ila kwa haraka haraka umetumwa kumchafua mama kwa fasihi.
 
Aliweka vizingiti vingi kuuza chakula nje ya nchi

Hakupandisha mishahara au madaraja ya watumishi kwa kipindi kirefu.

Alipandisha makato ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15

Aliweka sheria ngumu kutoa mafao ya pensheni kwa wanaoacha kazi.

Tenda nyingi za serikali zilipewa kampuni na mashirika ya serikali.

Aliondoa pesa za serikali kwenye benki za biashara.

Hakuajiri watu wengi kwa muda mrefu.
Swali hivi Dkt Magufuli aliwezaje kuthibiti mfumuko wa bei na upandaji holela wa vitu na wakati huo huo anajenga miundombinu. Tuambie wewe Mwl Kilaza Dkt Magufuli aliwezaje kutujengea ujasiri wa kutokuogopa COVID-19 wakati jitani zetu wanajifungia na matokeo and yake sisi tukajikuta uchumi wetu unakua na chakula cha kutosha ambacho Mama Juzi kaja kafungulia kimeuzwa chote nje na sasa njaa inakuja
 
Aliweka vizingiti vingi kuuza chakula nje ya nchi

Hakupandisha mishahara au madaraja ya watumishi kwa kipindi kirefu.

Alipandisha makato ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15

Aliweka sheria ngumu kutoa mafao ya pensheni kwa wanaoacha kazi.

Tenda nyingi za serikali zilipewa kampuni na mashirika ya serikali.

Aliondoa pesa za serikali kwenye benki za biashara.

Hakuajiri watu wengi kwa muda mrefu.
Hiyo ndo ilikuwa sabb iliyofanya kudhibiti mfumko wa being ya vyakula..?
 
NA MWL BAKARI MADAYA 0628087968

Salaam Ndugu Watanzania wenzangu*!

Naomba Leo nami niandike kidogo kuhusu watu wenye uwezo wa kusema lakini hawasemi.

Ndiyo, ninaandika hapa katika Muktadha wa kuwashangaa watu wa namna hiyo kwanini hawasemi. Hawasemi kweli ingawa kweli inadhihirika lakini wao wamekaa kimya. Kwanini?

Bila shaka wote tunakubaliana kuwa, Watu wana uwezo wa kuita Press na kuuambia umma kweli na kweli hiyo ikaaminika lakini wao wamekaa kimya. Wanamsubiri nani aseme?

Siku za hivi karibuni kumetokea manung'uniko kuhusu mfumuko wa bei nchini kwetu. Sababu ya jambo hili zinafahamika vema na Watu wenye uwezo wa kuongea na umma lakini wao wameamua kukaa kimya hawasemi chochote kwanini?

Ingelikuwa Mimi Nina access na media, ningewaambia watu Kwa takwimu Kwa kufanya comperative analysis kwamba:-

1. Wakati sisi, tunalalamika mafuta ya Kula kuuzwa Tsh 7000 Kwa lita; kule Kenya hali ipoje, kule Uganda Hali ipoje kule Rwanda, Burundi, Kongo, Sudani, Ethiopia na sehemu zingine za Afrika ambazo tunafanana au kutofautiana kidogo kiuchumi Hali ipoje Ningewaambia ukweli kuhusu Hilo. Ningewaambia ukweli kuwa licha ya sisi kulalamika mafuta yetu kuuzwa TSH 7000 lakini nchi za wenzetu bei ni kubwa zaidi yetu. Ningelitoa takwimu Kwa angalau nchi kama 20 za mfano

2. Wakati sisi, tunalalamika kuhusu Mafuta ya Diesel na Petrol kupanda bei, ningewaambia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika. Ningegoogle tu na kupata takwimu zote.

3. Wakati sisi, tunalaumu ndizi kupanda bei Kwa hoja kwamba, ndizi hizo tunalima wenyewe na hazihusiani na mafuta kupanda bei. Mimi, ningefanya hivyo hivyo kuangalia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika lakini pia hapa ningeuambia umma namna kupanda Kwa mafuta kunavyoweza kusababisha kupanda Kwa bei Kwa ndizi au nyanya.

Kuna mtu nilimsikia, anashangaa uhusiano wa kupanda mafuta ya Kula ambayo alizeti tunalima wenyewe.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuita waandishi wa habari; ningeuambia umma uhusiano uliopo kati yake. Ningeuambia Umma kwamba vifaa na components zingine zinazosababisha mafuta ya alizeti kukamuliwa vimekuwa vikinunuliwa na kusafirisha kutoka nchi za ng'ambo. Hapa, pia ningeueleza umma Hali ya uzalishaji wa alizeti msimu uliopita. Ningewaambia Hilo bila shaka ungelinielewa.

Ningelikuwa Ninaweza kuongea na umma, ningeliuambia umma namna vita za nje zinavyoweza kuathiri uchumi na siasa zetu.

Maana wengine hawaelewi uhusiano uliopo kati ya Russian-Ukranian War na mfumuko wa bei nchini.

Mimi nisingiishia tu kuwaambia wananchi kuwa uchumi umeyumba Kwa sababu ya vita vya Ukraine. Ningeliwaambia ni namna Gani vita hivyo vinasababisha mdodoro wa uchumi Duniani Tanzania in Particular.

Mimi ningelirejelea ile mada ya history Kidato Cha nne inavyoelezea namna vita ya kwanza ya Dunia ilivyosababisha GREAT ECONOMIC DEPRESSION.

Ningelisadikisha tukio Hilo na Russian-Ukranian War na namna inavyoathiri uchumi Duniani. Mi nadhani watu wangelinielewa tu.

Juzi nilimsikia mtu Fulani eti anasema watu hawamwelewi mama huku mtaani.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuongea na umma, ningeuambia umma ukweli.

Nisingeliishia tu kutaja makundi yanayomwelewa mama; ningeorodhesha Hadi dependants wao na wanavyoweza kunufaika na mama.

Nisingesema tu watumishi wanamkubali mama; ningeenda mbali kutaja idadi ya watumishi Tanzania na amount watakayolipwa kutokana na kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Ningeliwaeleza mnyororo wa fedha hizo Hadi mlaji wa Mwisho.

Ningeliwaeleza namna ambavyo hata raia wa kawaida watavyonufaika na watumishi kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Mimi ningelikuwa na Mengi tu ya kusema na bila shaka watu wangelielewa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, Mama Samia ni Rais pekee Barani Africa aliyeshika rekodi ya kuongeza mshahara Kwa asilimia kubwa kuliko nchi yoyote Barani hapa tangu uhuru.

Ningeliwaambia hivyo Kwa kuwa takwimu ninazo za nchi zote Afrika na namna ambavyo zimekuwa zikiongeza mishahara.

Niliposikia kuwa Rais Samia aliongeza mshahara Kwa 23.3% ilibidi niingie maktaba kuona kama Kuna Rais alifikia kiwango hicho ila niligundua hakuna tangu uhuru siyo Tanzania Bali ni bara lote la Africa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, kumlaumu Mama ni kumkosea sana Kwa maana Dunia yote inapitia na mifumuko ya bei kutokana na COVID-19 na Russian- Ukrainian War.

Hivyo kujenga hoja kuwa Mama haeleweki ni kumwonea tu Kwa kuwa kama ndivyo inatakiwa tujenge hoja kwamba Marais wote Duniani hawaeleweki.

Mimi ningesema Mengi. Kwa Leo naishia hapo

Wakatabahu
Ni.watu wenye Chuki binafsi tuu ndio wanamchukia Rais..

Ukweli ni kwamba kafanya mambo mengi mazuri Sana kwa mda mfupi kuliko Rais yeyote ukimpima kwa mda aliokaa..

Binafsi moja ya jambo lililonistua ni kuongeza bajeti ya Tarura kutoka bil.272 hadi bil.802..

Ameongeza bajeti ya kilimo iliyopuuzwa kutoka bil.290 hadi bil.750..

Yaani kila Wizara unayoijua wewe,kuna ongezeko kubwa Sana la Pesa..

Aisee Mungu yuko upande wake.
 
Naomba uifute post hii, inakupunguzia credibility na kuonyesha level yako ya ujuha ilivyokuwa juu.
 
Kumbe Mwl? Sishangai

Hata mwl kafundishe sasa bila increment wala madaraja kwa miaka 7
 
Kweli we zero brain ivi mafuta ya kupika yamepanda Toka lini na sukari je imepanda kwa sababu gani harafu Hata sio swala la mama sijui ukibadili kidogo akili zako izo za kukalili mambo shule mabadiliko katika jamii yanaletwa na mifumo imara inayoelekeza jinsi ya kutenda na kufanya sio tu siku zote jitu zima eti mama kafanya ivi mara vile who is mama acheni upimbi
 
Ni.watu wenye Chuki binafsi tuu ndio wanamchukia Rais..

Ukweli ni kwamba kafanya mambo mengi mazuri Sana kwa mda mfupi kuliko Rais yeyote ukimpima kwa mda aliokaa..

Binafsi moja ya jambo lililonistua ni kuongeza bajeti ya Tarura kutoka bil.272 hadi bil.802..

Ameongeza bajeti ya kilimo iliyopuuzwa kutoka bil.290 hadi bil.750..

Yaani kila Wizara unayoijua wewe,kuna ongezeko kubwa Sana la Pesa..

Aisee Mungu yuko upande wake.
Bajeti ilipandishwa Theoretically...uliza uambiwe ktk hizo alizopandisha ni kiasi gani zimetolewa so far.
 
Sihitaji kuambiwa bali taarifa za Serikali ipo wazi Bungeni..

Kwa mwaka ule wa kwanza Serikali haikuwa imejipanga kuleta Mapinduzi ya kilimo ndio maana unaona bajeti ya utawala ilitolewa zaidi kwa sababu ya kufanya maandalizi ya mwaka huu mpya ..👇

Screenshot_20220518-132842.png
 
Nchi masikini, raia wapumbavu ma-viongozi majinga majinga= Mkusanyiko wa takataka
 
Back
Top Bottom