Recent content by the lucky mlokole

  1. the lucky mlokole

    Sifa za Rafiki wa kweli

    Kwann usumbuke kutafuta sifa za rafiki wa kweli Kaslilize Wimbo wa langa unaitwq rafki wa kweli
  2. the lucky mlokole

    Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    Hapo hujamwambia ukweli Watamlizaje Saso wanafugika ka changamoto ulaj wao Lak 5 haitoshi aongeze my we walau 7 Apo atatoboa na faida atapata Mkuu fuga saso kwa msaada zaid wauzoefu kuhusu saso au kuku wote ni pm
  3. the lucky mlokole

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Wapo saso na tanbro Vishingo pia 😂😂😂😂😂
  4. the lucky mlokole

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Wapo saso na tanbro Vishingo pia 😂😂😂😂😂
  5. the lucky mlokole

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Wapo huko tufanye biashara
  6. the lucky mlokole

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Wakubwa kaka Leta deal aagiziwe kwenye zile bajaji znazopak pale stand ya zaman manundu ale nyama safi
  7. the lucky mlokole

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Nakutegemea mteja wangu
  8. the lucky mlokole

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Yeah hata tanbro wanavishingo nao naona saiz na Kroiler pia Wi Hawa Sasa 12000 tu Kula kuku kazid had kill ya nyama ya ngombe😂😂
  9. the lucky mlokole

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3 Bei 12000 location tanga korogwe Mikoa jiran wanakufkia ninao 85 Mawasliano 0682060425
  10. the lucky mlokole

    Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

    Napambania wap Sasa we unapopambana namimi nije nipambane apo apo
  11. the lucky mlokole

    Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

    Dah kwann mkuu naambiwa dar Kuna magorofa
Back
Top Bottom