Recent content by The last Nyiha King

  1. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania TUITUMIE JUMAPILI MAKANISANI KWENDA KUSALI NA SIO KWENDA KUONYESHA UFAHARI WA MAVAZI NA VITU TULIVYONAZO!

    Kama kichwa kinavyojieleza, Miaka ya Sasa kumekuwa na kasumba kubwa Sana kwasisi wakristo hasa siku za ibada(Jumamosi na JUMAPILI),watu tumekuwa tukivaa MAVAZI ya UFAHARI KWENDA kuwaonyesha watu badala ya kuupeleka moyo kwa ajili ya utakaso... Hii ipo kwa asilimia kubwa kwa wanawake,Yan...
  2. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Leta mambo Sheikh unasubiriwa huku
  3. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wasanii wa nyimbo za Injili hawaimbi kukemea maovu kama zamani?

    Hahahaha Hakika Watu wanakatika haoooo
  4. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wasanii wa nyimbo za Injili hawaimbi kukemea maovu kama zamani?

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu, miaka ya hivi karibuni wasanii wa nyimbo za injili wamekuwa wakitoa nyimbo nyingi zakusifu mazuri, kama vile maisha mazuri na pesa n.k, tofauti na Miaka ya zamani wasanii wengi walikuwa wakitoa nyimbo za maonyo, nyimbo zakukemea dhambi, nyimbo ya...
  5. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Mauaji Nigeria

    Duh noma hii
  6. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Wanaumeeee!!!

    Haahahahaha
  7. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kulipia Hotel/Lodge alafu binti hakutokea ukalala mwenyewe?

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa sehemu (mkoa/wilaya) ya kuishi

    Kiongozi kiongozi,yaniumeshindwa kutusua Mkoa wa Mbeya,unategemea tens mkoa UPI utakao ends kutusua Mkoa wambeya ndo mzuri kwakilimo we unataka kuondoka tena..........duh dunia inamambo
  9. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Kunaulazima Rais aanzie miaka 40? mbona hawa walifanya makubwa kwenye umri mdogo.

    Amna endeleeni bana,kuptia challenge mnayobishana wengine tunapata point
  10. The last Nyiha King

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

    Mmh
Back
Top Bottom