Forex nzima imefafanuliwa Ndani ya kitabu kimoja tu, kinaitwa The Forex Bible
Ukikisoma hicho kitabu hakuna Haja ya kusoma kitabu kingine chochote ili kupata basics
Baada ya kusoma hicho kitabu, tambua ni strategy ipi ambayo ungependa kutumia kisha tafuta vitabu vinavyoelezea hio strategy...
Unataka kuwa Billionea na hujui ufanye nini?
Upo tayari kujifunza kutoka kwa mtu ambaye hana net worth hata ya 500 USD?
So, you said Yes
Well, thanks for your vote of confidence, Sasa tuendelee...
... Ni muhimu kuwa na ujuzi wa aina Mbili
#1 Marketing
#2 Product Development
Unaweza...
Mkuu mimi sibishi kwamba suala la Population yao ni tatizo. HAPANA
Nakataa hoja zinazodai African Population is a threat kwa Europe & America
Pia siungi mkono Hoja yako ya kusema tuongeze idadi yetu afu tukawe nguvu kazi huko kwa wazungu.
Sijui kama naeleweka vizuri, naomba usome mchango...
Mkuu samahani kwa Lugha niliyotumia hapo awali, ila Lengo ni Moja tu...
... Kuonesha msisitizo juu ya ninachokiamini
Hoja yako hapa ni nzuri sana.
Huo Uchumi unaoongelewa kwamba China itakuwa Super Power ni hadithi tu, unakuwaje superpower huku wananchi wakiwa masikini?
USA ni tofauti...
Jibu ni Dogo tu,
Uelewa mdogo juu ya Biashara.
Sisi hatupendi kujifunza, hatupendi kusoma
Tujiulize tu, ni wangapi kati yetu huwa tunajisomea vitabu vya jinsi ya Kuanzisha, kumsimamia na kukuza biashara?
Unaweza kuniambia mbona hata waAsia hawasomi vitabu
Ni kweli, ila...
.. Wao...
Hapa inaonesha Ushajua need ya huko Duniani, Russia nk
Kinatochotukwamisha ni kushinda tunajadili vitu bila kuvifanyia kazi, Hao Watu unaotaka wakujibu unahisi wanafanya hivo vitu?
Kwanini wewe usiwe sehemu ya Mfano kwa kufanya Maamuzi ya Kuanza leo, kisha kesho uje ushauri wengine kutokana...
Huu ushauri ni Mzuri sana ila hauendani na nyakati
Ingefaa utolewe karne ya 18 au 19 hivi
Huwa sielewi dhana ya kusema Idadi ya sisi, wa-Afrika ni tishio kwa Ulaya na Amerika
Kwanini?
Katika karne ya 21, bado Kuna Watu wanaamini wingi ni Hoja?
China ina Watu wangapi? Kwanini walibadili Sera...
Mkuu
Mimi huwa nasoma softcopies, ukiangalia katika Titles hapo juu hakuna hata kimoja utakachokikuta bookstores za Bongo labda uagize Amazon
Hivyo vitabu ni ghali sana huko Duniani, Mfano kitabu cha Breakthrough Advertising bei yake ni zaidi ya Million. Sina uwezo huo 😂
Na kuhusu hilo...
Baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka 2020
1. Breakthrough Advertising by Eugene Schwartz
2. The Boron Letter by Gary Halbert
3. Never Split the Difference by Chris Voss
4. Traffic Secrets by Russell Brunson
5. Small Business Big Money by Akin Alabi
6. Sell Your Brain by Ronald Nzimora
7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.