Sipo sana kwenye mambo ya siasa bt wat I can see ni wa2 2naowapa uongozi either kwenye chama ama ngaz ya kutawala nchi.. Hawajui maana yake, ww mwigulu mavaz unayovaa na ndevu unazozivuga unataka uonekane kama che guevala, sio ss waafrika, unatembea na m2 aliemwagiwa tindikali unataka kuprove...
Kama unabif na tk mcomfront, sio kuandika maneno ya kijinga kama haya, kwa akili yako nani atakuamin, 2tolee laana zako hapa.. Kabaang ww
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.