Hizi tabia za kuzusha mambo si nzuri,mnaendelea kuligawa taifa,mnataka kuingia kwenye ukabila sasa!!Hebu pitia haya mazungumzo na AI,pengine kuna jambo ukajifunza!
Mangapi wamepitia mpaka kufika hapo halafu hili ndo liwe la ajabu??Tena kwa jambo la kuzusha??Labda ujiulize wale waliomzushia na halijafanya kazi wanapitia hali gani kisaikolojia??
Fata ya kwako aisee,ugumu mwingine wa maisha ni wa kujitakia,achana nae,hata kama sio swala la kukataa kazi mimi nikiona maisha yamekuwa magumu nitamshauri mwanamke ajiongeze tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.